Range Rover wanaleta model yao ya Tano, hafu sio SUV: Karibu Range Rover GT Fastback!

Range Rover wanaleta model yao ya Tano, hafu sio SUV: Karibu Range Rover GT Fastback!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Land Rover wanaleta gari mpya kwenye familia yao ya Range Rover, anaitwa Range Rover GT (Range Rover GT).
755.webp
756.webp

Guess what? Ni full EV, wakati Hybrid itakuja baadae.
757.webp

Hii ndio Range Rover ya kwanza kua non-SUV.
762.png

Matajiri tuandae zaidi ya $100,000/= base model na itafika hadi $200,000/=
 
Baada ya Mercedes Benz chaguo langu la pili ni Range rover kwa gari za mapunziko sema mpaka sasa sijagusa range hata moja ila Benz nimepata kadhaa hao range naweza kubaki kuwaangalia hapa hapa maana wana kodi zaidi ya 94m tena hiyo ya 2019 niliwahi kumletea mteja sijui kama haijapanda..
Fortuner tu ya 2024 haieleweki ina kod ya 63m kuendelea harafu mpo busy kujadili points tupunguze ajali wakati mnazuia gari ziingie na tuendelee kutumia uchakavu road.
 
Back
Top Bottom