A
Anonymous
Guest
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
TANESCO YASEMA IMEPOKEA...
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu...

Habari, ndugu mteja.Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.