KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Habari, ndugu mteja, na pole kwa mtazamo huo.

Tumejibu hivyo kwa sababu mabadiliko ya bei si uamuzi wa mtu mmoja, bali ni mchakato unaohusisha wadau mbalimbali na kuzingatia mambo muhimu.

Katika michakato kama hii, maoni kutoka kwa umma ni miongoni mwa mambo yanayozingatiwa. Ndiyo maana tunayapokea na kuyawasilisha kwa idara husika kwa ajili ya kuzingatiwa katika michakato ya kufanya maamuzi.

Ndugu wateja, tunawahakikishia kuwa maoni yenu tunayapokea na kuyafanyia kazi, kwani ni sehemu muhimu ya taarifa zinazotusaidia kuboresha huduma zetu.

Asante. ^FL
Majibu ya akili bandia
 
Ukifungua kava ya mita unaweza ingiza namba za LUKU bila rimoti, je umewahi kujaribu? Ikitokea umekosa/umechelewa kupata pesa ya kutengeneza rimoti unaweza ingiza umeme wako hapo.
Habari, ndugu mteja, pamoja na wadau wengine.

Tafadhali fahamu kuwa hairuhusiwi kwa mteja kufungua au kuifanyia mita marekebisho mwenyewe, kwani kufanya hivyo ni kinyume na taratibu na kunaweza kusababisha changamoto wakati wa ukaguzi wa mita na wataalamu wetu. Hivyo, tunakuomba uzingatie tahadhari hii kwa usalama na kuepuka usumbufu usio wa lazima.

Iwapo mita yako ina changamoto yoyote, tafadhali toa taarifa mara moja ili wataalamu wetu waweze kukusaidia. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 180, ambayo ni bure kwa huduma kwa wateja, au kupitia jukwaa hili na kurasa zetu nyingine za mitandao ya kijamii.

Asante. ^FL
 
Habari, ndugu mteja, na pole kwa mtazamo huo.

Tumejibu hivyo kwa sababu mabadiliko ya bei si uamuzi wa mtu mmoja, bali ni mchakato unaohusisha wadau mbalimbali na kuzingatia mambo muhimu.

Katika michakato kama hii, maoni kutoka kwa umma ni miongoni mwa mambo yanayozingatiwa. Ndiyo maana tunayapokea na kuyawasilisha kwa idara husika kwa ajili ya kuzingatiwa katika michakato ya kufanya maamuzi.

Ndugu wateja, tunawahakikishia kuwa maoni yenu tunayapokea na kuyafanyia kazi, kwani ni sehemu muhimu ya taarifa zinazotusaidia kuboresha huduma zetu.

Asante. ^FL
Sasa wakuu inabidi mtoe bei elekezi ya hizo rimoti na sio Kila ofisi ya tanesco Ina bei zake msije tena tukayafungua makaburi kuanzisha kampeni ya kutaka shirika libinafsishwe liwe la mtu binafsi maana hizo ofisi zenu zimejaa wapigaji sana ndo maana vizee vimejaa huko havataki kustaafu
 
Hili jibu lenu limekaa kinyumbu sana na ndo maana tunawahujumu tunatumia umeme bure mwaka wa 7 huu🥹🥹eti mnajibu kabisa ni MAPENDEKEZO? Hivi nyie watumishi manyumbu huko ofisini mnazeekea ujinga badala mstaafu, ndo maana shirika linajiendesha kwa hasara kwa sababu na halitapata faida

Ndugu mteja tafadhali ambatanisha namba Yako ya Meter na Eneo husika ili tuweze fika kukushughulikia kikamilifu.
Asante.
 
Habari, ndugu mteja, pamoja na wadau wengine.

Tafadhali fahamu kuwa hairuhusiwi kwa mteja kufungua au kuifanyia mita marekebisho mwenyewe, kwani kufanya hivyo ni kinyume na taratibu na kunaweza kusababisha changamoto wakati wa ukaguzi wa mita na wataalamu wetu. Hivyo, tunakuomba uzingatie tahadhari hii kwa usalama na kuepuka usumbufu usio wa lazima.

Iwapo mita yako ina changamoto yoyote, tafadhali toa taarifa mara moja ili wataalamu wetu waweze kukusaidia. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 180, ambayo ni bure kwa huduma kwa wateja, au kupitia jukwaa hili na kurasa zetu nyingine za mitandao ya kijamii.

Asante. ^FL
MSUKUMA02 usifungue mita , tumekatazwa😁
 
Na vidude vyenyewe wanavyotoa sio imara.

Yaani umeme ukiisha unawaza namna ya kuingiza zile namba mana unaweza kubonyeza mpaka ukajuta namba haijiandiki. Lol.
Habari, ndugu mteja, na asante kwa ujumbe wako.

Tafadhali fahamu kuwa iwapo rimoti yako ina changamoto, unaweza kuwasiliana na ofisi yetu ili fundi afike kuikagua, au unaweza kufika katika ofisi ya TANESCO iliyo karibu nawe kwa msaada zaidi.

Iwapo rimoti imeharibika kutokana na hitilafu isiyosababishwa na matumizi yasiyo sahihi ya mteja, itabadilishwa bila malipo. Hata hivyo, endapo uharibifu utatokana na matumizi yasiyo sahihi ya mteja, gharama za kubadilisha rimoti zitatozwa.

Asante. ^FL
 
Habari, ndugu mteja, pamoja na wadau wengine.

Tafadhali fahamu kuwa hairuhusiwi kwa mteja kufungua au kuifanyia mita marekebisho mwenyewe, kwani kufanya hivyo ni kinyume na taratibu na kunaweza kusababisha changamoto wakati wa ukaguzi wa mita na wataalamu wetu. Hivyo, tunakuomba uzingatie tahadhari hii kwa usalama na kuepuka usumbufu usio wa lazima.

Iwapo mita yako ina changamoto yoyote, tafadhali toa taarifa mara moja ili wataalamu wetu waweze kukusaidia. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 180, ambayo ni bure kwa huduma kwa wateja, au kupitia jukwaa hili na kurasa zetu nyingine za mitandao ya kijamii.

Asante. ^FL
Hicho kiremote kwa muonekano tu haina ubora
Bora mngeziacha mita za zamani zile
Ila kuna mdau hapa kaulizia gharama hyo 150,000 inakuwaje,wakati labda kidude chenu kimekufa chenyewe

Ova
 
Ndugu mteja tafadhali ambatanisha namba Yako ya Meter na Eneo husika ili tuweze fika kukushughulikia kikamilifu.
Asante.
Wakaguzi wenyewe wa tanesco wachovu tu wanakagua nyumba mbili tatu wameshachoka😀😀hata nikizituma najua hawatakuja tu mita inasoma Vaisi vesa siku wakija kusoma deni nafikiri hii nyumba wataipiga mnada🥹🥹
 
Hahahahaha hahaha
😄

Ova
 
Ila ni kweli unakubali kuwa mnalipisha wateja wenu kitita cha laki na 50 ya kitanzania kwa ajili ya kurekebisha kile kiremote cha plastic? Ambacho matumizi yake ni kubonyeza namba tu serious?
Habari, ndugu mteja.

Tafadhali fahamu kuwa kuna aina mbili za rimoti: Rimoti ya njia moja (single phase): Shilingi 80,000/= na Rimoti ya njia tatu (three phase): Shilingi 120,000/=.

Malipo ya rimoti hufanyika kupitia namba ya malipo (Control Number) utakayopewa na TANESCO.

Hujajibu gharama elekezi za matengenezo/marekebisho ya remote
 
Back
Top Bottom