mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Customer care leo kazi anayo kajaa kwenye mfumo 😂😂😂🙌,ila msimtukane sasa 😂Acheni wizi wenu pumbavu, ndio maana nilimchamba mfanyakazi wenu alivyoleta utapeli wake wa wazi wazi, na mkome kabisaa, pesa tunafuta kwa jasho, hatuziokoti. Wapuuzi nyie, mmekalia njaa tu.
Sawa, ndugu mteja. Tunashukuru kwa ujumbe wako kwa utekelezaji.Wewe uliyewekwa na TANESCO kujibu/kufafanua hoja za humu jamvini unapwaya.
Hukupaswa kuandika kuwa hoja umeichukua na kuipeleka idara husika ili yafanyiwe kazi.
Ulitakiwa kwanza, Kwa niaba ya shirika, umpatie mteja suluhisho la tatizo lake, period.
Mkuu nyinyi ni watu wenye LAWAMA hapo ni vigezo na masharti.Mnachofanya ni utapeli wa wazi wazi.
Haiwezekani gharama ya kutekebisha hiyo remote ilingane na gharama ya kuweka umeme kwenye nyumba mpya.
Kitengo chenu cha Matengenezo pale chama - msasani ni kikundi cha kukusanya fedha za Watanganyika masikini
Hatufungui mita bana, Tunajua zina seal.Habari, ndugu mteja, pamoja na wadau wengine.
Tafadhali fahamu kuwa hairuhusiwi kwa mteja kufungua au kuifanyia mita marekebisho mwenyewe, kwani kufanya hivyo ni kinyume na taratibu na kunaweza kusababisha changamoto wakati wa ukaguzi wa mita na wataalamu wetu. Hivyo, tunakuomba uzingatie tahadhari hii kwa usalama na kuepuka usumbufu usio wa lazima.
Iwapo mita yako ina changamoto yoyote, tafadhali toa taarifa mara moja ili wataalamu wetu waweze kukusaidia. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 180, ambayo ni bure kwa huduma kwa wateja, au kupitia jukwaa hili na kurasa zetu nyingine za mitandao ya kijamii.
Asante. ^FL
Habari, ndugu mteja, na asante kwa ujumbe wako.Changu kiliharibika huko kijiji ni wakanipa kipya, free of charge.
Kuna mita zingine za ukutani hazina hata ile sehemu ya kuwekea umeme wa luku, labda kama unasemea apande kwenye nguzo.Ukifungua kava ya mita unaweza ingiza namba za LUKU bila rimoti, je umewahi kujaribu? Ikitokea umekosa/umechelewa kupata pesa ya kutengeneza rimoti unaweza ingiza umeme wako hapo.
Nusu ya ghalama ya kuunganisha umeme, panda juu ya meter toa ile seal,then weka umeme kupitia hapo....Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Badala ya kuuza Tanesco wanauza Bandari!Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Mnavyojibu kihuni sasa...Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Acha zako wewe! Jibu hapa kwann ghalama ya Iko kidubwasha ni nusu ya ghalama ya kuunganishiwa umeme? kama sio wizi tuitaje? Mwananchi wa kawaida unahisi anaweza kumudu iyo Laki na nusu?Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Sasa kumpiga namna ile ndio mmepata nini sasa?Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Post #86Hata mimi kiliharibika, wakaja mafundi wa Tanesco kutengeneza, wakafail.
Wakasema kupata kipya inabidi nilipie 150K.
Na hiyo 150K ni gharama ya kununua mita mpya ambayo inakuja na remote yake.
Nilivyoelewa mimi hizo remote, system yake imeunganisha na mita yako, kikiharibika , inabidi ubadili mita.
Na wamelike commentToeni jibu na sio kuishia kupokea tu , haya mambo alikuwa anayapambania sana mwendazake sahivi viongozi wa juu hawana kauli mnaaumua kufanya mnavyojua kukandamiza wananchi.
R.I.P Magu
Mi nimeyaibia miaka mitano nikajiona bingwa kumbe mtaalam umenipiga kwa miaka miwili kabisa??Hili jibu lenu limekaa kinyumbu sana na ndo maana tunawahujumu tunatumia umeme bure mwaka wa 7 huu🥹🥹eti mnajibu kabisa ni MAPENDEKEZO? Hivi nyie watumishi manyumbu huko ofisini mnazeekea ujinga badala mstaafu, ndo maana shirika linajiendesha kwa hasara kwa sababu na halitapata faida
Mkuu kwahiyo sababu mtu momja au wawili waliachia watoto wachezee, sasa nchi nzima tuwajibike kwa ujinga wa watu wawili?. Kumbuka tanesco ni shirika la uma sio kikunfi cha mabepari cha kuwanyonya wana nchi. Huu ni wizi ndio maaana hata hekaya zao za tukinunua umeme utaingia moja kwa moja hawataki kukamilisha ili waendeleze utapeli wao.Mkuu nyinyi ni watu wenye LAWAMA hapo ni vigezo na masharti.
Inakuaje mpaka mna haribu icho kidude cha LUKU
NB. Jana nikiwa nyumbani remote ya TV wanamwachia mtoto mpaka kapasua the same Jana naona kidude cha kuwekea LUKU WANAMPA MTOTO ACHEZEE ANAKIPIGIZA PIGIZA NIKAWAKATA JICHO...NIKAWAAMBIA WASIRUDIE MAANA VITU VYA KUCHEZEA VIPO VINGI..KWANINI WACHEZEE MITA
acha matusi,ebu tuanze na wewe ,je unajua yote? mshauri namna za kufanya ili apate kingine pasina kwenda kupigwa pesa na TANESCOMtoa mada ni mjinga, hujui njia za mkato, CIU zinapatikkana tele ni wewe na ujanja wako tu