Nchi ngumu sana hii. Utatukanwa ndugu yangu.Mkuu nyinyi ni watu wenye LAWAMA hapo ni vigezo na masharti.
Inakuaje mpaka mna haribu icho kidude cha LUKU
NB. Jana nikiwa nyumbani remote ya TV wanamwachia mtoto mpaka kapasua the same Jana naona kidude cha kuwekea LUKU WANAMPA MTOTO ACHEZEE ANAKIPIGIZA PIGIZA NIKAWAKATA JICHO...NIKAWAAMBIA WASIRUDIE MAANA VITU VYA KUCHEZEA VIPO VINGI..KWANINI WACHEZEE MITA
Bei sahihi kinatakiwa kiwe bei gani?Hii haikubaliki aisee kuanzia 80,000/= mpaka hiyo 120,000/= ipigwe kampeni nchi nzima ,mitandao yote ya kijamii.Hiki kichaka cha majizi TANESCO kisambaratishwe .
Umeulizwa bei ya matengenezo ya remote ni kiasi gani unazungusha taarabu tu hapa!!!Habari, ndugu mteja.
Hatutumii robot kujibu wateja. Wewe unachangamoto yeyote unaitaji msaada?
Tanesco tunaangaza maisha yakoNa vidude vyenyewe wanavyotoa sio imara.
Yaani umeme ukiisha unawaza namna ya kuingiza zile namba mana unaweza kubonyeza mpaka ukajuta namba haijiandiki. Lol.
Kinachotakiwa ni mfumo mpya wa umeme kuingia direct unaponunua bila kujaza namba.Bei sahihi kinatakiwa kiwe bei gani?
Wamekalia uhuni uhuni tu ,Taasisi nyingi za Tz ni kichwa cha mwendawazimu,Na wamelike comment
Mie haikua kwenye cm, nilienda makao makuu ya Tanesco mkoa, kheeh naona mtu analeta wizi wa mchana kweupee, nisianze kumfurusha nini? 😂😂😂😂Customer care leo kazi anayo kajaa kwenye mfumo 😂😂😂🙌,ila msimtukane sasa 😂
Wa Aleykum salaam. Nipo jamani mwenzio nimetingwa tu.Assalaam aleykum,umeadimikaaa.
😂😂😂 babu sikusomi kabisaa.Mnavyojibu kihuni sasa...
Hivi ilikuwaje Mkapa alishindwa kubinafsisha hili shirika??
Yaan yaan yaaan ngoja nikae kmya ila Wananchi tunaumia sana Kwa hii miradi ya watuKidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Mie haikua kwenye cm, nilienda makao makuu ya Tanesco mkoa, kheeh naona mtu analeta wizi wa mchana kweupee, nisianze kumfurusha nini? 😂😂😂😂
Mie nataka sasa upuuzi, akuuuh.
Nimeuliza bei elwkwzi mkuu.Kinachotakiwa ni mfumo mpya wa umeme kuingia direct unaponunua bila kujaza namba.
Mijamaa inakera. Maswali magumu yenyewe inajibu utumbo tu....😂😂😂 babu sikusomi kabisaa.
Usijali. Utajifungua salama. Mimba sio ugonjwa kipenziWa Aleykum salaam. Nipo jamani mwenzio nimetingwa tu.
Soma post #58 kajibuUmeulizwa bei ya matengenezo ya remote ni kiasi gani unazungusha taarabu tu hapa!!!
Tanesco ni wezi, ngoja siku na idara ya maji iingie kwenye mfumo wangu, watajuta, 😂😂😂
Yah! Hao TANESCO wanatakiwa wahamie huku.Umeme unatakiwa ukilipia uingie moja kwa moja. Kukaa na marimoti ya umeme zama hizi za teknolojia ya mita janja ni ujima. Hayo ma mita ya LUKU ya mpaka rimoti au upande na ngazi yamepitwa na wakati.