cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwa kweli. 😂😂😂Mijamaa inakera. Maswali magumu yenyewe inajibu utumbo tu....
Bora lingebinafsihwa tu tujue tumamua kutawaliwa na wakoloni weupe....
Kwa kweli. 😂😂😂Mijamaa inakera. Maswali magumu yenyewe inajibu utumbo tu....
Bora lingebinafsihwa tu tujue tumamua kutawaliwa na wakoloni weupe....
Pole na majukumu wifi yangu😍Wa Aleykum salaam. Nipo jamani mwenzio nimetingwa tu.
Kwa hiyo hapo kama umekiaribu mwenyewe ndiyo unalipa hizo gharama
Duuh! Parefu sana hapo aisee.Nililipishwa 150000, ambayo mimi naamini kua ni utapeli wa serikali juu ya raia wake.
Anajibu ila hili swali sijui kwa nini analiruka.g
gharama ya rimoti kutoka TANESCO ni kiasi gani sasa?
Kuchukulia tatizo la watu wawili kwa umma wote nafikiri sio sawa.Nchi ngumu sana hii. Utatukanwa ndugu yangu.
Kuna mahali nimeita mtu mzembe?Kuchukulia tatizo la watu wawili kwa umma wote nafikiri sio sawa.
Angalia iadi ya wachangiaji humu ambao wanachangamoto hiyo, je ni wote wazembe/waliwapa watoto kuchezea?
Kuna maelekezo rasmi kwamba kifaa hicho kitatumika kwa muda gani? Hufikiri kuw huenda, vinamaliza muda wa matumizi?
Naomba Tanesco wakijibu kutengeneza remoti ni sh ngap mniambia mm nimechoka kusoma natafuta jibu la moja Kwa moja kua kitufe kutengeneza ni elfu 5 ,g
gharama ya rimoti kutoka TANESCO ni kiasi gani sasa?
Mie cha kwangu hata mwaka hakikumaliza hiyo sehemu ya umeme ikawa imekufa.Na umeme ila sio kwa kucharge
Laki na 50 imetoka wap au mnajiamulia mambo tangu magu aondoke?Habari, ndugu mteja.
Tafadhali fahamu kuwa kuna aina mbili za rimoti: Rimoti ya njia moja (single phase): Shilingi 80,000/= na Rimoti ya njia tatu (three phase): Shilingi 120,000/=.
Malipo ya rimoti hufanyika kupitia namba ya malipo (Control Number) utakayopewa na TANESCO.
Asante. ^FL
Yah! Hao TANESCO wanatakiwa wahamie huku.
Mana si wengine hivyo vidude baadhi ya namba hazibonyezeki halafu mtihani uliopo ukinunua umeme wanakupa namba za kuweka 20.
Yaani mtu unahangaika nazo mpaka basi na ilivyo ukiwa unahangaika kuweka namba ikichukua sekunde kadhaa haijaandika zile namba ulizohangaika nazo mwanzo zinajifuta unaanza upya.
Mie pia nashauri waende na teknolojia tukinunua umeme basi unaingia moja kwa moja.
Mita za kutoingiza token ziliishiaga wapi?maana mlijinasibu mwaka huu mtaanza kuondoa mita za kujaza minambaHabari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Ooh! Hivyo Mkuu matumizi yasiyo sahihi ya mteja ndo kama yapi hayo?Habari, ndugu mteja, na asante kwa ujumbe wako.
Tafadhali fahamu kuwa iwapo rimoti yako ina changamoto, unaweza kuwasiliana na ofisi yetu ili fundi afike kuikagua, au unaweza kufika katika ofisi ya TANESCO iliyo karibu nawe kwa msaada zaidi.
Iwapo rimoti imeharibika kutokana na hitilafu isiyosababishwa na matumizi yasiyo sahihi ya mteja, itabadilishwa bila malipo. Hata hivyo, endapo uharibifu utatokana na matumizi yasiyo sahihi ya mteja, gharama za kubadilisha rimoti zitatozwa.
Asante. ^FL
😅😅Wakaguzi wenyewe wa tanesco wachovu tu wanakagua nyumba mbili tatu wameshachoka😀😀hata nikizituma najua hawatakuja tu mita inasoma Vaisi vesa siku wakija kusoma deni nafikiri hii nyumba wataipiga mnada🥹🥹
Hamna sio kwako Mtani tupo wengi.Kumbe umeona mtani? Nilihisi changu ni fake.
😂😂😂
Tooba. 🤣🤣Acheni wizi wenu pumbavu, ndio maana nilimchamba mfanyakazi wenu alivyoleta utapeli wake wa wazi wazi, na mkome kabisaa, pesa tunafuta kwa jasho, hatuziokoti. Wapuuzi nyie, mmekalia njaa tu.
Hatari tupu. 😂😂😂Hamna sio kwako Mtani tupo wengi.
Yaani ukitaka kununua umeme unaanza kuwaza sekeseke la kuhangaika kuuweka. 😅😅
MnoooDuuh! Parefu sana hapo aisee.