Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Nimefanya research hizo meter kwa China bei yake ni ya dola 10$-17$ ila TANESCO walilipa tenda kimoja kwa dollar 38,nashangaa kwanini hawaweki production line Tanzania maana mahitaji mamilioni kila mwaka, hii ni fursa kwa watanzania pia na watu waruhusiwe kununua hizi meter kwenye open market waweke standard tuu sio kuipa TANESCO monopoly kuuza peke yao kukamua watu na ufisadi