XYZ987
Member
- Dec 18, 2018
- 63
- 83
Bado hakijaka sawa iko vile vile na nimejaribu kuingiza umeme after hio code inakataaHakijaharibika, jaza refreshing code hii hapa 2901
Bado hakijaka sawa iko vile vile na nimejaribu kuingiza umeme after hio code inakataaHakijaharibika, jaza refreshing code hii hapa 2901
Waliotengeneza mita wamekosea kuweka manual pads pale.Ndio mana na makava ya mita huwekwa kwenye nguzo siku hizi..😆 kazi ipo
Nahisi unazungumzia zile mita za zamani!! Mita za siku hizi hazifungwi kwenye ukuta wa nyumba yanawekwa juu ya Nguzo
Tanesco inabidi mpunguze Bei kwakweli hii Bei ni kubwa sana sana.Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Fata maelekezo ya TANESCO wamekujibu hapo juu na wamekupa codes za kuingiza..!Bado hakijaka sawa iko vile vile na nimejaribu kuingiza umeme after hio code inakataa
Mko live wazee wa kufunga nguzo huku mnatukana..!!Habari XYZ987.
Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali jaribu zoezi lifuatalo kwa usaidizi, nunua betri mpya kisha weka kwenye rimoti yako ya kuingizia umeme na chomeka kwenye soketi ndani kwako kisha ingiza 755204 ok kisha ingiza mita namba bila namba mbili za mwanzo(43) kisha bonyeza OK, halafu ingiza token zako.
Iwapo utakua umeshalifanya zoezi hili hapo awali tafadhali tupatie namba ya taarifa kwaajili ya msaada zaidi.^RS
Okay ushapewa code nyingine hizo hapo, hope zimefanya kazi!Bado hakijaka sawa iko vile vile na nimejaribu kuingiza umeme after hio code inakataa
Samahani nimefata hayo maelekezo mara nne ila imekataa, inarejea mlemle kama inavoonekana kwenye picha hapo juu #217.Habari XYZ987.
Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali jaribu zoezi lifuatalo kwa usaidizi, nunua betri mpya kisha weka kwenye rimoti yako ya kuingizia umeme na chomeka kwenye soketi ndani kwako kisha ingiza 755204 ok kisha ingiza mita namba bila namba mbili za mwanzo(43) kisha bonyeza OK, halafu ingiza token zako.
Iwapo utakua umeshalifanya zoezi hili hapo awali tafadhali tupatie namba ya taarifa kwaajili ya msaada zaidi.^RS
Ni wizi tu hakuna kingine maana kam meter nzima imekufa wanakubadirishia bure kabisa bla gharama yoyote lakini submeter ikifa wanataka hela na sio kuitengeneza ni hili wakupatie submeter nyingine.Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Bila bila mkuuFata maelekezo ya TANESCO wamekujibu hapo juu na wamekupa codes za kuingiza..!
Kwanini Main Meter ikiaribika mnabadirisha bure kabisa bila gharama yeyote lakini submeter mnataka hela..?Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali fahamu kuwa gharama ya rimoti kutoka TANESCO ni sawa katika ofisi zetu zote.
Iwapo ulikumbana na jambo la tofauti, tafadhali tujulishe ili tuweze kukusaidia zaidi.
Asante. ^FL
Ulilipa kwa control number?Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Habari Superb2014.Tanesco inabidi mpunguze Bei kwakweli hii Bei ni kubwa sana sana.
Ndugu XYZ987,Samahani nimefata hayo maelekezo mara nne ila imekataa, inarejea mlemle kama inavoonekana kwenye picha hapo juu #217.
Sina report namba.
Nahitaji kuweka umeme alarm inalia soon itakwiaha.
Naomba msaada ...@TANESCO
Kuwakomesha😁Ndio mana na makava ya mita huwekwa kwenye nguzo siku hizi..😆 kazi ipo