figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Acha kuishi kwa ujanja ujanja.Mtoa mada ni mjinga, hujui njia za mkato, CIU zinapatikkana tele ni wewe na ujanja wako tu
Acha kuishi kwa ujanja ujanja.Mtoa mada ni mjinga, hujui njia za mkato, CIU zinapatikkana tele ni wewe na ujanja wako tu
Habari, ndugu mteja.Ndiyo maana TANESCO wameshindwa kusema humu bei HALISI ya remote.
Mambo ya kipumbavu shirika la serikali kushindwa kusema ukweli hadharani na viongozi wao wamemyamaza tuu.
Hili ndo jibu lilitakiwa mtoe toka Mwanzo kwa mlalamikaji aliyedaiwa 150000.Habari, ndugu mteja.
Tafadhali fahamu kuwa kuna aina mbili za rimoti na gharama ni kama ifuatavyo:
1. Rimoti ya njia moja (single phase): Shilingi 80,000/=
2. Rimoti ya njia tatu (three phase): Shilingi 120,000/=
Malipo ya rimoti hufanyika kupitia namba ya malipo (Control Number) utakayopewa na TANESCO.
Asante. ^FL
Habari, ndugu mteja.Wewe uliambiwa ni 70,000 mimi nimepiga simu ijumaa wakaniambia 80,000 kupata kipya na mwingine kaambiwa kurekebisha ni 150,000.
Shirika moja majibu tofauti, kuna wizi hapo!
Bei elekezi ni elfu 80Tanesco jibuni maswali ya wananchi!
Remote ni Tsh 150,000?????
Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Hizo mbona zinatengenezwa hapa hapa tz mkuuNimefanya research hizo meter kwa China bei yake ni ya dola 10$-17$ ila TANESCO walilipa tenda kimoja kwa dollar 38,nashangaa kwanini hawaweki production line Tanzania maana mahitaji mamilioni kila mwaka, hii ni fursa kwa watanzania pia na watu waruhusiwe kununua hizi meter kwenye open market waweke standard tuu sio kuipa TANESCO monopoly kuuza peke yao kukamua watu na ufisadi
Mkuu.Kuna mahali nimeita mtu mzembe?
Nyumbani kwetu waliambiwa walipe Shilingi elfu 70 ili wapewe kipya.Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama ndogo, lakini Sh 150,000 ni pesa nyingi sana. Hii gharama inatuumiza sana.
Luke imewekwa juu mita 50Ukifungua kava ya mita unaweza ingiza namba za LUKU bila rimoti, je umewahi kujaribu? Ikitokea umekosa/umechelewa kupata pesa ya kutengeneza rimoti unaweza ingiza umeme wako hapo.
Ulipewa risit?iNililipishwa 150000, ambayo mimi naamini kua ni utapeli wa serikali juu ya raia wake.
Hamjamsaidia sana mteja wenu.Nilitegemea apewe maelezo ya kina as to what he should do ili apate huduma kwa haraka.Nilitegemea pia kwa faida ya wateja wengine apate maelezo kama matengenezo ya remote kwa Sh.150,000 yana uhalisia.Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Ukifungua mwenyewe hizo seal utazokata utapata wapi ukitaka kufungaUkifungua kava ya mita unaweza ingiza namba za LUKU bila rimoti, je umewahi kujaribu? Ikitokea umekosa/umechelewa kupata pesa ya kutengeneza rimoti unaweza ingiza umeme wako hapo.
Hivi wewe ni AI au? Kwanini hujaja na majibu kamili unatuletea habari za nimewasilisha sehemu husika, majibu yake nayo yanahitaji tume ikae au bodi nzima?Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali tambua kuwa tumepokea ujumbe wako na tumewasilisha maoni na mapendekezo yako kwa idara husika, ili yazingatiwe katika maboresho endelevu ya huduma zetu.
Asante. ^FL
Hii Kuna nyumba miaka Sasa wanatumia hivi,kidude waliharibu,si unajua nyumba yenye wapangaji wengi wafujo.Ukifungua kava ya mita unaweza ingiza namba za LUKU bila rimoti, je umewahi kujaribu? Ikitokea umekosa/umechelewa kupata pesa ya kutengeneza rimoti unaweza ingiza umeme wako hapo.
Acha kujibu kama ROBOT, eleza ni kwanini mnachaji 150,000 kwa matengenezo ya remote tu? Huo sio UTAPELI wa mchana kweupe? Jibu hilo.Habari, ndugu mteja.
Pole sana kwa changamoto hii. Tafadhali fahamu kuwa gharama ya rimoti kutoka TANESCO ni sawa katika ofisi zetu zote.
Iwapo ulikumbana na jambo la tofauti, tafadhali tujulishe ili tuweze kukusaidia zaidi.
Asante. ^FL