Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi nzuri kumzidi boss wako, ataanza kukuchukia na kukusema kwa manager,
Waajiri watachukua mtu mkubwa hata kama ni mburura kwa sababu tu ya umri, na hata kwenye malipo hawaangalii kuwa wewe unafanya makubwa bali sometimes utazongwa na kupewa hela ndogo kwa sababu eti wewe bado mdogo.
Yaani wamatumbi ni washamba sana, ndo maana hakuna maendeleo, watu wana dharau sana wadogo wenye maarifa. Kuna siku nilikuwa na sikiliza Ted talk ya Benjamin frenandez yule jamaa wa Nala... Katika jitihada za kusajili kampuni yake alisha wahi fukuzwa ofisini kisa alionekana ni kijana mdogo... Japo kasoma Harvard na ana elimu kubwa kuzidi yoyote aliyekuwa kwenye chumba kile.
Ni kwamba umri sio kigezo cha execution kuna majitu makubwa na akili zao matope tu, umri sio kigezo ha ku group Wafanyakazi bali output na ustadi wa kufanya kazi. Leo hii bongo hapa kijana hawezi kuachwa asimamie mali hata kama kasoma PhD ya uchumi. We lack the right mindset about "age is just a number" ni kweli katika mkidhani ya hekima umri ni factor kubwa. Ila katika kazi hasa za kutumia akili umri hauingii hata kidogo. As long as kijana kasha fikia umri wa kujitambua ana haki ya kupewa treatment sawa na wakubwa zake katika kazi na maslahi yake.
Age is just a number, and of you lack skills and knowledge you're just another piece of crap pretending to have wondered this earth long enough.
Blue Monday..