Wakuu habarii,
Moja kwa moja kwenye maada!
Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.
Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job.
So unavyo geuzwa geuzwa...
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (Mufindi DC) tulioajiriwa tangu mwanzoni mwa mwaka 2025 hadi sasa hatujapokea barua za kuthibitishwa kazini, licha ya kuwa tumetimiza vigezo vinavyohitajika.
Kila tunapofuatilia suala hilo kwa uongozi, hatupati majibu ya kuridhisha kuhusu sababu za...
JATU PLC inapenda kuwatangazia wadau wake, wateja, washirika wa biashara, wanahisa na umma kwa ujumla kurejea kwa shughuli za Kampuni, kufuatia kukamilika kwa mashauri ya kisheria na masuala yanayohusiana na makubaliano ya utatuzi yaliyosababisha kusitishwa kwa shughuli za Kampuni tangu mwaka...
Hapa job mimi ni mfanya usafi, sasa kuna hii GenZ inapita kwa koridoo kila wakati wakuu namimi sipo nyuma sana kwenye moja na mbili nikalianzisha.....
Mimi: Habari binti, haujambo?
Yeye: Sijambo, nambie
Mimi: Nimekua nikikuona hapa tangia jana na nimejikuta unanivutia
Yeye: Naomba unikome...
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida...
Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE.
Tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuondolewa kazini bila kupewa taarifa (notice) kama ilivyoainishwa kwenye...
Anonymous
Thread
jnhpp
kazini
mkataba
rufiji
shirika la umeme
tanesco
wafanyakazi wa shirika
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika.
Amesema mfumo hupanga waombaji...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mchakato wa ajira katika Taasisi ya Afya Muhimbili. Tulifanya usaili wa nafasi mbalimbali, lakini hadi sasa imepita miezi kadhaa bila kuitwa kazini, huku mwaka ukiendelea kumalizika.
Kinachotushangaza ni kwamba kada nyingine zilizofanya usaili katika taasisi hiyo...
#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti!
1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu.
2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!).
3. TOUR OPERATOR WA...
Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na...
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu,
Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah
Wanabodi huyu mod...
"Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia jina... wanaosema wamepotezea jina nao wana... wana mashtaka yao, lakini na mimi pia nina mashtaka yangu...
Kuna namna unajikuta kuwa mateso ya kifedha ndio mtaji wako, hata katika unafuu unajikuta kupitia stress za madhara ya "deep state economy",
Muda na energy unayo invest haikulipi sambamba na commitment yako.
Watu wengi wanaishi katika credit, hakuna mwenye surplus, ili kujikimu inabidi ukope...
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE
Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo
Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo
Kama kuna roho chafu itaziondoa...
Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.