Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
2,021
Reaction score
4,488
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo kupelekea DG kutubania kupitisha madokezo ya safari za kwenda kutekeleza majukumu yetu ya ukaguzi na ata safari za kawaida

Sasa katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna mhasibu uwa anandika madokezo kwenda kufanya ukaguzi kwenye miradi na ofisi za kanda na anapitishiwa madokezo na kulipwa jukumu ambalo sio lake na uku wakaguzi wa ndani tupo
Nimegundua kwa nini maofisini watu uuwana na kuchukiana aisee,huo uhuni ndo ingekuwa wewe umekukuta ungefanya nini?
 
Nafikiri DG ndo haelewi majukumu yake hapo.
DG miyeyusho sana anataka eti CIA kila hoja anayoandika aende kwanza wakashauliane na CIA anatakiwa kila quarter kutuma report kwa IAG -internal auditor general dodoma na CAG walikuja kufanya audit hoja nyingi zilizorudi ili zijibiwe CIA ameshawahi kushauri sasa DG ndio anamind anahisi yeye ndo kasababisha ndo bifu lilipokolea hapo na anavikundi vyake ofisini ndio ambao wamenipa izo habari na mengine uwa najionea
 
Kumbe huko makazini Kuna kazi sana but pole sana ndugu ndo bongo ilivyo
 
Huyo anataka kuharibu kibarua chako mkuu, kama vipi muelekeze kwamba anazingua na mstari anaouvuka kitamramba au kama vp muendee kiringeni kamfunze adabu ajue maisha yanaendaje.
 
other duties as assigned by
kama kwenye sijui Jd au kokote kuna hiki na si mmoja tu wote mliopo hapo mna hizo sentensi..basi kwa Africa wewe endelea na kazi zako kama Kijana au Mzee.

Huku ndio sehemu pekee hatuheshimu taaluma za watu kwa sababu tu ya mifumo yetu...ndio maana kuna wengine tunakimbia sana kazi zenye kona kona tunaonekana wajeuri...haiwezekani uwe IT halafu Mhasibu anajua coding na anafanya kazi zako...hapo unasubiri nini?

Haiwezekani unakuwa MD pahala halafu wanaotibu madiwani na wabunge tena wanashirikiana na wanachi kufukuza kazi MD au Nurse.

Anza kuwekeza kwenye akili yako si ofisi
 
Huyo ana lake jambo, sio bure
Kwa nini anafanya majukumu yako wakati hayamhusu?

Kwamba hajui majukumu yake au vipi? Au anataka kutengeneza mazingira uonekane huna unachofanya?

Kuna watu wanajua kutafuta sifa.
Hapo kuna mawili: ama anatengeneza mazingira uonekane wewe ni mzembe, au analenga kukufitinisha

Kuwa makini kazini kwako kuna kazi
 
other duties as assigned by
kama kwenye sijui Jd au kokote kuna hiki na si mmoja tu wote mliopo hapo mna hizo sentensi..basi kwa Africa wewe endelea na kazi zako kama Kijana au Mzee.

Huku ndio sehemu pekee hatuheshimu taaluma za watu kwa sababu tu ya mifumo yetu...ndio maana kuna wengine tunakimbia sana kazi zenye kona kona tunaonekana wajeuri...haiwezekani uwe IT halafu Mhasibu anajua coding na anafanya kazi zako...hapo unasubiri nini?

Haiwezekani unakuwa MD pahala halafu wanaotibu madiwani na wabunge tena wanashirikiana na wanachi kufukuza kazi MD au Nurse.

Anza kuwekeza kwenye akili yako si ofisi
ushauri mzuri natakiwa kuanza kuwekeza nje ya ofisi izi kazi za serikali jau sana na ndio maana wengine wakiwa vizuri wanazikimbia
 
Back
Top Bottom