Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

fanya majukumu yako na angalia namna uhame hapo tena hama nchi kabisa Tanzania hali hiyo utakutana nayo kila mahali. kama inakukwaza angalia namna ya kutoka nje ya Tanzania ukumbane na changamoto za aina nyingine. INAWEZEKANA KABISA

Dunia haijaishia kwenye hiyo ofisi pekee.
 
uko sahihi shida anataka kuondoa independence na akikaguliwa na CAG akiletewa hoja anamwona CIA mbaya na unakuta hoja zinazoibuliwa alishashauriwa na menejimenti walishashauriwa na kibaya wao na CIA ni bifu lao wananiingiza na mimi
Hapo kwenye ugomvi wao wewe usiingie, waache wenyewe. Kuna mahali walipishana itakuwa wanajuana wenyewe. Ni kawaida CAG kama external Auditor lazima aperuzi ripoti ya IA hivyo ugomvi hautaisha.
Kuna changamoto ya Utendaji unaopelekea taasisi kuwa na hoja nyingi, DG naye yuko weak.
 
CIA mala DG sijui FBI ndo wa nani we nae sisi wengine jobless andika kwa urefu au una tubagua
 
Back
Top Bottom