Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

Mimi akili yangu ilivyo na kiherehere na umbea nilifikiria mada inamzungumzia madelu kupokwa jukumu la ukaguzi wa miradi huko mwanza na DAB... anyway maybe nime overthinkšŸ˜Ž
si atapigana kuchwa kuzurura apumziki anakusanya per diem
 
DG miyeyusho sana anataka eti CIA kila hoja anayoandika aende kwanza wakashauliane na CIA anatakiwa kila quarter kutuma report kwa IAG -internal auditor general dodoma na CAG walikuja kufanya audit hoja nyingi zilizorudi ili zijibiwe CIA ameshawahi kushauri sasa DG ndio anamind anahisi yeye ndo kasababisha ndo bifu lilipokolea hapo na anavikundi vyake ofisini ndio ambao wamenipa izo habari na mengine uwa najionea
Mi nafahamu kuwa kazi ya IA ni kushauri juu ya udhaifu wa Internal Control katika Taasisi nafikiri DG yuko sahihi kuomba kujadiliana juu ya hoja ulizoandika, kwa kuwa kazi ya IA sio uchanganishi bali kutoa ushauri wa kitaalam, sasa kwa hoja ambazo zinajibika inabidi DG na DFA wakae pamoja na kuzijibu au kuzifanyia kazi na zile zinazoshindikana ndio zinaenda mbele, tatizo Maudito wengi wanapenda kufanya kazi kipolisi.
Katika kazi yako kushirikiana na DG ni sahihi, lakini haina maana kuwa hakuondolee indendence yako Kwa kuwa wewe ni mshauri wake.
 
Hali hio iko taasisi nyingi ni basi tu mambo ya ndani unaamua kukaa kimya ama kupata hasira ya kutafuta hela kwenye njia nyingine nje na posho
true aisee kama mimi hapa tumebaniwa sijasafiri tangu mwaka uingie ila nikiangalia watumishi wengine kuna walioingiza zaidi ya 10m hadi sahivi tunavyoongea hapa nitafute cha kufanya nje ya kazi kupambana na siasa za taasisi zitaniua
 
Unamgawia fungu kidogo kutoka kwenye mshahara wako kumtia moyo azidi kukusaidia.
 
Ni mbaya sana unakaa miezi sita hujaenda hata safari ya siku 10 umebahatisha vya siku mbili na moja wakati huohuo mkuu wa idara hai piri mwezi Dodoma,Arusha,Dodoma siku 14 mwanza siku 8 hapo hatusemehi Vikao na bodi
 
Mi nafahamu kuwa kazi ya IA ni kushauri juu ya udhaifu wa Internal Control katika Taasisi nafikiri DG yuko sahihi kuomba kujadiliana juu ya hoja ulizoandika, kwa kuwa kazi ya IA sio uchanganishi bali kutoa ushauri wa kitaalam, sasa kwa hoja ambazo zinajibika inabidi DG na DFA wakae pamoja na kuzijibu au kuzifanyia kazi na zile zinazoshindikana ndio zinaenda mbele, tatizo Maudito wengi wanapenda kufanya kazi kipolisi.
Katika kazi yako kushirikiana na DG ni sahihi, lakini haina maana kuwa hakuondolee indendence yako Kwa kuwa wewe ni mshauri wake.
uko sahihi shida anataka kuondoa independence na akikaguliwa na CAG akiletewa hoja anamwona CIA mbaya na unakuta hoja zinazoibuliwa alishashauriwa na menejimenti walishashauriwa na kibaya wao na CIA ni bifu lao wananiingiza na mimi
 
CIA Anatakiwa kumsaidia DG, Kivipi? Atoe muda wa kurekebisha hizo hoja kabla hazijaenda mbele na wahusika wa kujibu hizo hoja wajulikane na wajibu kwa wakati ili kikao cha majumuisho ya rejea kila hoja inayohusu idara iwe imejibiwa na kama kuna idara imezembea ichukuliwe hatua, DG yeye ni msimamizi na ana wataalam chini yake kama ana watu wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao awabadilishe, kwa kuwa hoja zote zinajibiwa kwa niaba yake na wataalam wake.
 
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo kupelekea DG kutubania kupitisha madokezo ya safari za kwenda kutekeleza majukumu yetu ya ukaguzi na ata safari za kawaida

Sasa katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna mhasibu uwa anandika madokezo kwenda kufanya ukaguzi kwenye miradi na ofisi za kanda na anapitishiwa madokezo na kulipwa jukumu ambalo sio lake na uku wakaguzi wa ndani tupo
Nimegundua kwa nini maofisini watu uuwana na kuchukiana aisee,huo uhuni ndo ingekuwa wewe umekukuta ungefanya nini?
Muache afanye ila uwe makini tu asikuhusishe kwa namna yoyote ile, ikiwezekana umjulishe kiongozi unaye ripoti kwake
 
Hali hio iko taasisi nyingi ni basi tu mambo ya ndani unaamua kukaa kimya ama kupata hasira ya kutafuta hela kwenye njia nyingine nje na posho
Ni kweli , na ni Bora uwe unafikiria out of box tofauti na hapo unaweza wazazi mawazo mabaya sana kila siku
 
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo kupelekea DG kutubania kupitisha madokezo ya safari za kwenda kutekeleza majukumu yetu ya ukaguzi na ata safari za kawaida

Sasa katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna mhasibu uwa anandika madokezo kwenda kufanya ukaguzi kwenye miradi na ofisi za kanda na anapitishiwa madokezo na kulipwa jukumu ambalo sio lake na uku wakaguzi wa ndani tupo
Nimegundua kwa nini maofisini watu uuwana na kuchukiana aisee,huo uhuni ndo ingekuwa wewe umekukuta ungefanya nini?
Kwenye mkataba wako ulikubaliana na mwajiri kukulipa mshahara.
Kama unalipwa mshahara wako basi tuliza komwe
Hayo mengine huwa ni upendeleo tu ndio maana hayapo kwenye mikataba ya ajira.
 
CIA Anatakiwa kumsaidia DG, Kivipi? Atoe muda wa kurekebisha hizo hoja kabla hazijaenda mbele na wahusika wa kujibu hizo hoja wajulikane na wajibu kwa wakati ili kikao cha majumuisho ya rejea kila hoja inayohusu idara iwe imejibiwa na kama kuna idara imezembea ichukuliwe hatua, DG yeye ni msimamizi na ana wataalam chini yake kama ana watu wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao awabadilishe, kwa kuwa hoja zote zinajibiwa kwa niaba yake na wataalam wake.

Unamgawia fungu kidogo kutoka kwenye mshahara wako kumtia moyo azidi kukusaidia.

Huyo ana lake jambo, sio bure
Kwa nini anafanya majukumu yako wakati hayamhusu?

Kwamba hajui majukumu yake au vipi? Au anataka kutengeneza mazingira uonekane huna unachofanya?

Kuna watu wanajua kutafuta sifa.
Hapo kuna mawili: ama anatengeneza mazingira uonekane wewe ni mzembe, au analenga kukufitinisha

Kuwa makini kazini kwako kuna ka

CIA Anatakiwa kumsaidia DG, Kivipi? Atoe muda wa kurekebisha hizo hoja kabla hazijaenda mbele na wahusika wa kujibu hizo hoja wajulikane na wajibu kwa wakati ili kikao cha majumuisho ya rejea kila hoja inayohusu idara iwe imejibiwa na kama kuna idara imezembea ichukuliwe hatua, DG yeye ni msimamizi na ana wataalam chini yake kama ana watu wanaoshindwa kutekeleza wajibu wao awabadilishe, kwa kuwa hoja zote zinajibiwa kwa niaba yake na wataalam wake.

Pima kwanza kina cha maji jamaa angu, huenda hao watu umewakuta kazini, usiwe mwema sana na usiwe mkuda sana

"Do your job get paid go home "
duh kweli watu sio wazuri na uyo mshikaji uwa nikikutana naye ananichekea kabisa kumbe sio mtu mzuri
 
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo kupelekea DG kutubania kupitisha madokezo ya safari za kwenda kutekeleza majukumu yetu ya ukaguzi na ata safari za kawaida

Sasa katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna mhasibu uwa anandika madokezo kwenda kufanya ukaguzi kwenye miradi na ofisi za kanda na anapitishiwa madokezo na kulipwa jukumu ambalo sio lake na uku wakaguzi wa ndani tupo
Nimegundua kwa nini maofisini watu uuwana na kuchukiana aisee,huo uhuni ndo ingekuwa wewe umekukuta ungefanya nini?
Ukiona hivyo wewe tafuta njia ya kuhama shirika au badilishiwa majukumu yako.
 
Muache afanye ila uwe makini tu asikuhusishe kwa namna yoyote ile, ikiwezekana umjulishe kiongozi unaye ripoti kwake
internal auditors tanzania uwa wanareport kwa uyo uyo mkurugenzi DG yaani TZ imekaa kihuni huni ,nchi nyingine sidhani kama wana utaratibu mbovu ivi
 
Back
Top Bottom