Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Hapa job mimi ni mfanya usafi, sasa kuna hii GenZ inapita kwa koridoo kila wakati wakuu namimi sipo nyuma sana kwenye moja na mbili nikalianzisha.....
Mimi: Habari binti, haujambo?
Yeye: Sijambo, nambie
Mimi: Nimekua nikikuona hapa tangia jana na nimejikuta unanivutia
Yeye: Naomba unikome baba, nenda katafute wataipu yako wenye sura mbaya kama ngozi ya kalio
Mimi: Uposahihi binti, na ndio sababu nimeona wewe ni taipu yangu...🤣
Wakuu hapa nilipo nimeacha vitendea kazi vyote pale na sijui kama kibarua bado ninacho tena, maana naskia ni ndugu wa boss yule...😂
Au nimemjibu vibaya wakuu....🙄