Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau.
Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio...
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini.
Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi katika utendaji kazi na kupunguza rushwa.
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie.
Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
Habarini,
Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.
Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Wanajamvi,
Hayawi hayawi sasa yamekua. Naona TAMISEMI na DAs wengine wameanza kuachia mikeka. Leo ni zamu ya Dar Es Salaam. Hongereni sana kwa mliopata.
Wengine tuendelee kusubiri.
NOTE: Ikitokea nafasi omba. Unaweza omba Songea ukaibukia TMDA
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi
Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia jumba bovu wengine…
Wakiamua kujibu mapigo…
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili wajiandikishe.
Hapa Dodoma nimeshuhudia hali hiyo ikijitokeza kwenye Mitaa ya Chinangali West na Nkuhungu...
Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.