Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja.
Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote.
Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi
Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale
Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha...
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
Maelfu ya watu nchini Uhispania leo hii wameruhusiwa kurejea kazini, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuibuka kwa mripuko wa virusi vya corona, ambapo serikali iliweka marifu ya kufanyika shughuli za kawaida.
Jumatatu ya Pasaka kwa taifa hilo haikuwa siku ya kitaifa ya mapunziko kwa raia badala...
Habari Kiongozi,
Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June...
Tafiti zinaonyesha kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea kwa kiasi kikubwa, tabia za mtu mwenye dhamana ya kufanya maamuzi yanayohusu wafanyakazi wa taasisi husika.
Kiongozi akikosa sifa, ni vigumu walio chini yake kufanya wajibu wao.
Migogoro, kutokuelewa, hujuma, utegeaji, kukosa hamasa ni...
Habari wana JF.
Naomba kuuliza kwa wale watumishi walioajiriwa kwenye taasis ya umma, baada ya mwaka unatakiwa kuthibishwa kazini, swali, je kuna taratibu zipi zinapitiwa ili uthibishwe?
Je, unaweza kukatariwa usithibitishwe? Kwa sababu zipi?
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996.
TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali za Serikali Kuu na Ushuru mbalimbali.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matatizo mbalimbali...
Polisi ofisa katika jimbo la Texas aliyempa mtu asiye na makazi sanduwichi yenye kinyesi cha mbwa. Mahakama imeharisha arudishwe kazini kutokana na mapungufu ya sheria!
=====
Police officer gets away with ‘giving homeless man poop sandwich’
A police officer who was fired after he allegedly...
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"
Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
Niko naangalia mubashara mwenendo wa kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana Sonko wa jiji la Nairobi na wenzake wanaotuhumiwa kufisadi fedha za serikali kwenye manunuzi ya umma. Tukio hili linarushwa live kupitia Citizen Tv.
Hapa Tanzania tunayo mahakama ya mafisadi lakini sijaisikia ikiendesha...
Kama kawaida unapokuwa unaandika au unadesign kitu chochote kama vile website au graphics za aina nyingine kama wallpaper, brochure, poster, logo, vitabu au newsletter nk. basi utakuwa na fonts unazopenda kuzitumia na zinavutia kweli kulingana na kazi unayofanya.
Sasa uzi huu ni wa kutupia...
Mtu ukiwa unalima shamba huhitaji press. Vikao vya Kamati za Bunge na vikao vya Bunge ni vikao serious vya kikazi. Wananchi wanachohitaji kujua ni matokeo ya kile walichojadili sio zile porojo za sijui mbunge huyu akachekesha, huyu akatukana. Wananchi wanachohitaji ni final result za kikao...
Hapa lazima uwe na utimamu wa mwili.
Yanafanyika mengi magumu ili askari wawe fit waweze kulinda raia na mipaka ya nchi.
Hebu tupende na kuheshimu askari wote wanafanya na kupitia mengi kwa ajili yenu, mengine ni makosa ya kibinadamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.