Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno
Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa
mimi namwuliza kuzama chumvini na cheo kazini kinaingiliaje hataki kusema
Money Penny: haya mambo kwanini...
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya serikali za CCM hususan hii ya awamu ya tano
Na kama mnavyojua, Sisi wanachama wa JF huenda ni watu ambao tumo katika kundi la watu wenye elimu na tuna upeo mkubwa wa mambo katika nchi...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari zilizotangazwa na Serikali mwezi Agosti, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika.
Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi...
Ni Salma Kikwete akiwa jimboni Mchinga akizisaka kura kwa udi na uvumba. Hapo anachanja mbuga mlimani -Maweni Mputwa
Pongezi nyingi kwake.
Mama anaenda "kutema chechee-Kwa sauti ya JK.
CCM INA HAZINA YA WANACHAMA
Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
Wajenzi hawajaruhusiwa kuziona familia zao tangu mwezi MachiImage caption: Wajenzi hawajaruhusiwa kuziona familia zao tangu mwezi Machi
Kampuni ya Kichina inayotengeneza kiwandacha saruji katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo imewafungia wafanyakazi wapatao 60, raia wa nchi hiyo katika eneo la...
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK)
Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha kabisa kuficha nyimbo zote walizowahi kuimba Weusi.
Hivi kama nyimbo ya SALA utaifananisha na nyimbo...
Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana.
Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini.
Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga.
Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu.
Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko?
Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu...
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
Kwanza kabisa pongezi kwa mkuu wa nchi kwa kuwa mkali.
Kabla ya Rais Magufuli discipline kazini ili 20% kwa sasa imepanda sana tunaweza kukadiria 80%. Ule ujinga wa "unanijua mimi ni nani"? Haupo tena.
Mada husika
Jana katika Ofisi za Manispaa ya Temeke niliona umuhimu wa Rais Magufuli na...
Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.
1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja...
Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi....
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii....
Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku.
Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina siku maalum kwa kazi maalum. Jana aliletwa dada mmoja mzuri kama mwarabu hivi ila ana uzungu uzungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.