Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.
Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini
Majibu yao...
Wakuu,
Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi.
Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko...
Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano.
Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma.
Kwa mfano, ajira...
Mambo vipi walipa kodi!!?
Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika!
Nilipomuuliza mdau mmoja wa taasisi hiyo akaniambia hujui mtandao wa fedha haupo nchini!!?na wameagizwa...
Yaani Jamaa kaenda Likizo siku kadhaa tu lakini karudi ule weusi wote umeisha, kawa mweupe peee huku mwili ukiwa umepukutika kama vile anavyotuelekeza Profesa Janabi yaani, Daaah!!
Nawaomba wanaJF wenzangu nendeni likizo ili mkirudi mng'are huku vitambi vikiwa vishawaporomoka, kwani hamtaki...
Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi.
Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
Rais wa clabu ya yanga Eng. Hersi pamoja na makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini aliyekua msemaji wa yanga Ali Kamwe katika nafasi yake ya meneja habari na mawasiliano na kumsainisha mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo...
Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi.
Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu au chama kilicbokata pesa ya Mtumishi bila idhini yake?
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu.
Je, mpaka sasa Tume ya Maadili mmemwita huyu mtu?
Je, mpaka sasa bado yuko kazini na hamuoni madhara makubwa kama ataendelea na...
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua.
Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
Anonymous
Thread
barua
changamoto
halmashauri
kazini
kuchelewa
moshi
mtumishi
utaratibu
wakati
watumishi
wilaya
Kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒
Sawa, kazi ni kazi ilia angalau wawe wanaoga, wawe wanasafisha midomo, walau kunyoa ndevu na kua nadhifu...
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini.
Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini...
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa...
Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.