Je ni kweli wastaafu wa Tiss wamerudishwa kazini?

Je ni kweli wastaafu wa Tiss wamerudishwa kazini?

Kama pT, jWa walirudishwa kwa nini isiwe hawa unaowasema?
Acha wale mkataba wa miaka miwili tena.
 
System za usalama zinarudisha wastaafu sana, hasahasa police vizee vinarudi kazn.
 
Kama ni kweli,kwa nini mstaafu arudishwe kazini,je ni fear of unknown,vipi hatma ya graduate zaidi ya milioni moja wanaomaliza chuo kila mwaka?
Unaleta swali
Kabla hata hujapata majibu ya kuridhisha umeshadakia kutoa mtazamo wako.
What was the fvcking point of asking us such a nonsense?
 
Hao watakuwa wafanya yaitwa Ad-hoc (when necessary or needed) na hawapo kwenye "official payroll".

Hiyo ni hatari sana, "dangerous precedent" kwasababu kama ni wao wanohusika kuteka watu hiyo inakuwa ngumu kupata ushahidi.
 
mambo yanazidi kuwa mazito, maji yamezidi unga
 
Back
Top Bottom