Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika.
TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976.
Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye
dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
Kuna wizi mbaya wenye kutia aibu ambao mimi binafsi unaniudhi sana. KIla nikienda eneo hili la External barabara ya Maji Chumvi upande wa kushoto, ni sehemu ambazo gari za IT kutoka bandarini zinaingia kutokea Mandela Road zikiwa safarini kwenda Malawi na kwingineko. Hili eneo ni maarufu sana...
Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka.
Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika.
Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana.
Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.
Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
TUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS...
Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.
Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.
Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.
Ngongo kwasasa Tandamti.
Hii si mara ya kwanza,
Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake.
Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao.
Mfano...
Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka.
Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030.
Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo.
Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari.
Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
1. Watu wanatekwa wewe upo upo tu.
2. Fedha za nchi yetu zinaibiwa wewe upo upo tu.
3. Watu wanachochea udini na kuanzisha magenge ya kihalifu wewe upo upo tu.
4. Mahakama inadharaulika wewe upo upo tu.
Cc: Aione DGIS ili aone aibu zaidi.
Soma pia PreGE2025 - Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa...
Bullying ni yale maisha ambayo leo ukienda hospital utapata aina nyingi ya wanadamu wameweza kukumbana kwa kila aina kulingana na sehemu wamekutana na mifumo, mazingira,afya,jamii na kila aina.
Hapa tunaeleza kuhusu watu wanaoweza kushika vyeo ambavyo kisaikolojia vikarudisha yale yale...
Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?.
Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??.
Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi.
Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale.
Kenya walijiongeza na wakajisahau ila tokea lile tukio la mwisho wakajua hii idara sio siasa.
Mpenda nchi anaweza kusema ukweli...
Je watafanikiwa ?
Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania
Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano?
Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra.
Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?.
Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.