Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.
Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake waadilifu sana kiasi kwamba wakitokea hadharani, wananchi wana wanappreciate kuwa tuna watu wanaipenda nchi ya Tanzania mioyoni mwao.
Sasa hivi Ikulu gulio la wahuni na matapeli kama Chivayo.
Ati tuna vyombo.
Wananchi tunasikitika.