Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

na hao watu mliokuwa mnawaheshimu walikuwa wanateuliwa na wenyeviti wa ccm hawa hawa wenye kofia ya Urais. Kama wakati huo walikuwa wanateuliwa na wwenyeviti wa CCM na hata sasa wanaendelea kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM. Tujiulize, nini kimebadilika ndani ya mifumo ya CCM ?
Ulitaka wateuliwe na nani?
Hata Mwalimu mwenye heshima kubwa kwa uadilifu, alikuwa Mwenyekiti wa CCM.
 
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.

Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake waadilifu sana kiasi kwamba wakitokea hadharani, wananchi wana wanappreciate kuwa tuna watu wanaipenda nchi ya Tanzania mioyoni mwao.

Sasa hivi Ikulu gulio la wahuni na matapeli kama Chivayo.
Ati tuna vyombo.

Wananchi tunasikitika.
All in All tuliingia mkenge time will tell utakuja niambia
 
Miaka ya baadae mtu aliyewnda kwenye sector za ulinzi miaka ya 2025 na aliyestaafu miaka ya kuanzia 2029 kurudi chini atakuwa anaonekana kama muuwaji mwenye laana.
 
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.

Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake waadilifu sana kiasi kwamba wakitokea hadharani, wananchi wana wanappreciate kuwa tuna watu wanaipenda nchi ya Tanzania mioyoni mwao.

Sasa hivi Ikulu gulio la wahuni na matapeli kama Chivayo.
Ati tuna vyombo.

Wananchi tunasikitika.
Wateseka ukiwa wapi!
We kalia kulalama tu hapa kila uchao wenzio wanaendesha nchi tena wanajiamini na ndio sababu wanazidi kuajiri, kupandisha mishahara na kuilipa kwa wakati. So mikele yako ni kama kumpigia mbuzi gitaa tu
 
Mashirika kama TANROADS yanakufa na kuua kampuni za kizalendo, ninyi mmebaki na 10% za wachina.
Halafu mnasema mnaajiri, kweli ashibaye hamjui mwenye njaa.
 
1791397354549.jpeg
 
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.

Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake waadilifu sana kiasi kwamba wakitokea hadharani, wananchi wana wanappreciate kuwa tuna watu wanaipenda nchi ya Tanzania mioyoni mwao.

Sasa hivi Ikulu gulio la wahuni na matapeli kama Chivayo.
Ati tuna vyombo.

Wananchi tunasikitika.
Jibu kakupa Mch. Peter Msigwa kwa kiasi tu. Kwa ziada changanya na akili yako ya kuzaliwa
 
Back
Top Bottom