darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,358
- 18,441
CHaDEMa mnapaswa mjue, hakuna alternative ya kushika au kuondoa CCm zaidi ya siasa za majukwaani. Hizi nyingine ni harakati zinazoonyesha mmeishiwa mbinu na hoja.
Si udini,
Si uhanarakati
Si kuchochea vijana kufanya ghasia
Si uchaonganishi na kuichafua nchi katika jumuia ya kimataifa
Si kutia huruma
Sio kujenga chuki baina ya watu
Si Utanganyika
Sio ukanda
Vyote hivi vinawajengea kutoaminika
Si udini,
Si uhanarakati
Si kuchochea vijana kufanya ghasia
Si uchaonganishi na kuichafua nchi katika jumuia ya kimataifa
Si kutia huruma
Sio kujenga chuki baina ya watu
Si Utanganyika
Sio ukanda
Vyote hivi vinawajengea kutoaminika