M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Wametoa TISS wameweka TISS, nanyi mna makundi?
..akili za matakoni ndio zinafikiri hivi..tiss ya chooni?Wametoa TISS wameweka TISS, nanyi mna makundi?
Hawawezi kupewa vyeo vikubwa kama siyo "MENO".Wametoa TISS wameweka TISS, nanyi mna makundi?
Iwe ya chooni au ya bafuni, TISS ni TISS ileile. Nothing more nothing less...akili za matakoni ndio zinafikiri hivi..tiss ya chooni?
Hakuna tiss hapa..kuna genge la wachumia tumbo kwa jina la tissIwe ya chooni au ya bafuni, TISS ni TISS ileile. Nothing more nothing less.
Jambo Usilolijua Ni Kama Usiku Wa Giza Hakuna Cha Tiss Ni Gsm Na Wapambe Wake wenye MaliIwe ya chooni au ya bafuni, TISS ni TISS ileile. Nothing more nothing less.
Teh teh 😃 😃 wanaona hao jamaa kama wametoka sayari nyingine.Bongo hakuna TISS acheni ujinga. TISS ya chooni kwenu.