Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Hii si mara ya kwanza,

Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake.

Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao.

Mfano unawapa confidential information watu wawili au mmoja peke ake ikivuja basi wanapata uhakika wa wanachofanya.
 
Kikwete atakufa tu na yeye hata Kama sio Leo ila atakufa Kama alivyoua watu October 2025.

Israel atamchukua tu na siku iyo nikiwa sijafa nitafanya sherehe wiki nzima kusherekea kifo chake.
 
Misosi nitoke vipi.
 
Kikwete atakufa tu na yeye hata Kama sio Leo ila atakufa Kama alivyoua watu October 2025.

Israel atamchukua tu na siku iyo nikiwa sijafa nitafanya sherehe wiki nzima kusherekea kifo chake.
Mkuu Kila mtu atakufa na unaweza kukuta ww una muda mfupi sana wa kuendelea kuwepo hapa dunia ukilinganisha na yeye.

Kifo sio adhabu Kwa waovu bali kifo ni hatina ya Kila binadamu awe mwema au muovu.
 
JK anatamani kumuona kijana wake akiingia ikulu. Lakini ukweli ni kwamba hilo hatolishuhudia na halitotokea!
 
Back
Top Bottom