Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi.
Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale.
Kenya walijiongeza na wakajisahau ila tokea lile tukio la mwisho wakajua hii idara sio siasa.
Mpenda nchi anaweza kusema ukweli.
Inakuwaje waziri au rahisi kusema October 29 mambo rahisi na hakuna ushaidi mpaka yanatokea hapo tusema hii idara haipo.
Hizi taarifa mpaka waziri na raisi kwa ujasiri kapata kutoka Wapi ni polisi,TISS,uhamiaji au chama chake.
Leo tunaona viongozi wa CCM wakija ujasusi wao kusema wanalipwa.
Ina maana TISS yupo wapi kukusanya haya.
haya hapa TISS na huyu nani kama serikali kwa jina mwaipopo anaita kundi lake mbwa mwitu