TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030.

Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo.

Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
 
Mtu mpumbavu pekee ndio mwenye kuchukia wengine na maisha yao.!

Ona hili..!?

Mwengine kawaza anavyojisikia kwanini Kiwe kipaumbele chako.!

Yawezekana alitengenezwa kuzima sauti za mfanano.. Na mnakiri na kuona huruma.!

Very ubsurd. 😎
 
Mimi naona mbali wewe .Mpaka leo unaishi makongo na ujaolewa mpaka leo na umri wako mpaka sasa 30 + na unafanya kazi ukiwa na stress
Pole 😂😂😂
 
Back
Top Bottom