Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Je watafanikiwa ?

Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania

Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano?

Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya biashara kubwa uku Tanganyika?

Nawaambia hii ni siasa inatengenezwa ili kupoteza story za October 29 mwaka Jana.

Hapo watanganyika mnapangwa muwe wamoja halafu badae watajitokeza wauaji na kuhutubia na kukemea ili wapate uhalali wa kisiasa

Watanganyika shutukeni focus iwe ni haki ya Lissu, uchaguzi huru na haki kwa ndugu zetu waliokufa October 29,2025.

R.I.P mashujaa wetu.
7/7/2026 tunatoka kuwatetea.
 
Mugambo waaruka na kukanyagana. Wakati tunahangaika na yasiyofaa, wenzetu wanatafuta mbinu ya kuboresha ili waendelee kututawala zaidi.
 
Misheni anatunga nani.Wakati wanafanyiana wenyewe.

Ndo haya nilishasema CCM imekuwa polisi,TISS na mahakama unakamatwa ila mshitaki uwelewi ni nani sababu ni mpinzani
 
1782018555482.png
 
Je watafanikiwa ?

Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania

Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano?

Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya biashara kubwa uku Tanganyika?

Nawaambia hii ni siasa inatengenezwa ili kupoteza story za October 29 mwaka Jana.

Hapo watanganyika mnapangwa muwe wamoja halafu badae watajitokeza wauaji na kuhutubia na kukemea ili wapate uhalali wa kisiasa

Watanganyika shutukeni focus iwe ni haki ya Lissu, uchaguzi huru na haki kwa ndugu zetu waliokufa October 29,2025.

R.I.P mashujaa wetu.
7/7/2026 tunatoka kuwatetea.
Nishasema mara nyingi tu hapa. Kuwa CHADEMA wamebaki kudemka kwa kila ngoma inayopigwa na CCM
 
TRUE .NI KWELI HATA MIMI NILI ISHTUKIA HII
wanajaribu kila aina ya UJINGA

mara watengeneze UDINI
KUSHIKWA BEGA na kuibiwa nyeti

maujinga ya simba na yanga na wasanii wa bongo fleva na bongo muvi watu wameyachoka

hawapoi nafiri kuna kitengo kabisa cha kuzalisha haya maujinga/propaganda haya magandaa makapi MATAKATAKA

mara babu wa loliondo,mara popo bawa ...likiisha like kinakuja hili
 
Nyie wanaharakati ni watu wajinga sana , na mna upeo mdogo sana wa kuelewa siasa.

Kwakuwa mnakariri mambo
Mwanaharati ni nani? Jibu kama mtu aliyekwenda shule.
Nani siyo mwanaharati katika eneo lake?
Nyerere hakuwa mwanaharati dhidi ya wakoloni?
Mandela je?
Aweso siyo mwanaharati wa kuwaletea maji watanzania?
Samia muuaji siyo mwanaharati wa maendeleo ya nchi?
Ni nani huyu mwanaharati unayemlenba na kumuimba Kila siku kama kasuku?
Kati ya mwanaharati na chawa wa lumumba unachagua nani?
 
Back
Top Bottom