Styles za chumbani sio uonezi kwa wanawake, sisi wanaume hua tunazitumia tuwapo kazini

Styles za chumbani sio uonezi kwa wanawake, sisi wanaume hua tunazitumia tuwapo kazini

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
627
Reaction score
1,215
Wakuu habarii,

Moja kwa moja kwenye maada!
Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.

Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job.

So unavyo geuzwa geuzwa room ndivyo jamaa hua anajigeuza geuza awapo field.

Mfikirie fund wa magar na mikao yake yote anapo rekebisha gari!!

Kuna watu wanahudumia familia familia kwa kucheza pooltable, kacheki wanavyo poz ili kupata shabaha nzuri zaidi!!!

Umewahi kumwona seremala anapochana mbao kwa msumeno wa mkono?? Mguu mmoja chini halafu mwingine juu ya stuli!!!!!

CHALLENGE YA PICHA, TUPIA PICHA MBILI MOJA YA MKAO WA CHUMBANI ZAIDI NA YA PILI INAYO ENDANA NA MKAO WA KAZINI.
 
Back
Top Bottom