Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE

Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo
  • Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo
  • Kama kuna roho chafu itaziondoa
  • Itakulinda kwenye eneo ambalo litaainishwa
𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12
𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑢𝑘𝑎𝑙𝑖 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑘𝑜 𝑢𝑝𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑢𝑤𝑎𝑜 𝑤𝑜𝑡𝑒 𝑢𝑘𝑎𝑡𝑎𝑜 𝑘𝑢𝑤𝑖𝑙𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑎𝑐ℎ𝑜𝑚𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑢𝑧𝑖𝑔𝑎𝑤𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑛𝑎𝑓𝑠𝑖 𝑛𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜, 𝑛𝑎 𝑣𝑖𝑢𝑛𝑔𝑜 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑦𝑎𝑙𝑖𝑦𝑜𝑚𝑜 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑦𝑎𝑘𝑒; 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖 𝑗𝑒𝑝𝑒𝑠𝑖 𝑘𝑢𝑦𝑎𝑡𝑎𝑚𝑏𝑢𝑎 𝑚𝑎𝑤𝑎𝑧𝑜 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑘𝑢𝑠𝑢𝑑𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑜𝑦𝑜.
👇👇👇👇

Wewe kama unashida au changamoto tamka mistari ya biblia ambayo ntakua nashare huku kwenye huu uzi ni bure na hakuna malipo na mistari hiyo ntaanza kushare kuanzia page ya 5 post ya 100

𝙃𝙐𝘿𝙐𝙈𝘼 𝙉𝘼𝙕𝙊𝙕𝙄𝙏𝙊𝘼 𝙉𝙄 𝙆𝘼𝙈𝘼 𝙕𝙄𝙁𝙐𝘼𝙏𝘼𝙕𝙊
  1. 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙬𝙖𝙯𝙤 𝙟𝙞𝙥𝙮𝙖
  2. 𝙆𝙪𝙤𝙣𝙜𝙚𝙯𝙖 𝙪𝙩𝙖𝙟𝙞𝙧𝙞
  3. 𝙆𝙪𝙤𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙢𝙖𝙥𝙚𝙥𝙤/𝙢𝙖𝙟𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙖𝙣𝙖𝙮𝙚𝙨𝙪𝙢𝙗𝙪𝙡𝙞𝙬𝙖 𝙣𝙖𝙮𝙤
  4. 𝙆𝙪𝙤𝙣𝙙𝙤𝙖 𝙢𝙖𝙜𝙤𝙣𝙟𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙧𝙞𝙩𝙝𝙞
  5. 𝙆𝙪𝙡𝙞𝙣𝙙𝙖 𝙗𝙞𝙖𝙨𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖𝙠𝙤
  6. 𝙆𝙪𝙡𝙞𝙣𝙙𝙖 𝙣𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙮𝙖𝙠𝙤
  7. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙩𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖 𝙬𝙖𝙘𝙝𝙪𝙢𝙗𝙖
  8. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙘𝙝𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙪𝙡𝙞𝙮𝙚𝙣𝙖𝙮𝙚 𝙣𝙞 𝙢𝙩𝙪 𝙨𝙖𝙝𝙞𝙞 𝙖𝙪 𝙡𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙩𝙪 𝙨𝙖𝙝𝙞𝙞 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙩𝙚𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞𝙨𝙝𝙚 𝙣𝙖𝙮𝙚
  9. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙪𝙗𝙪𝙣𝙞𝙛𝙪 𝙠𝙖𝙯𝙞𝙣𝙞
  10. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙝𝙪𝙙𝙪𝙢𝙖 𝙮𝙖 𝙙𝙞𝙖𝙡𝙮𝙨𝙞𝙨 𝙝𝙖𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 𝙮𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙙𝙞𝙖𝙡𝙮𝙨𝙞𝙨 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙥𝙖 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪
  11. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙢𝙜𝙤𝙣𝙟𝙬𝙖 𝙬𝙖 𝙘𝙖𝙣𝙘𝙚𝙧 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙮𝙚 𝙮𝙪𝙥𝙤 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙘𝙝𝙚𝙧𝙢𝙤𝙩𝙝𝙚𝙧𝙖𝙥𝙮- 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙘𝙝𝙚𝙧𝙢𝙤𝙩𝙝𝙚𝙧𝙖𝙥𝙮 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙥𝙖 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪
  12. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙪𝙣𝙖𝙮𝙚𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝘼𝙍𝙑𝙨 𝙝𝙖𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖 𝘼𝙍𝙑𝙨 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙞 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙥𝙖 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝘼𝙍𝙑𝙨
  13. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙩𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞
  14. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙪𝙡𝙞𝙣𝙯𝙞 𝙬𝙖 𝙣𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙯𝙤𝙞𝙨𝙝𝙞
  15. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙥𝙧𝙚𝙨𝙨𝙪𝙧𝙚 𝙪𝙣𝙖𝙯𝙤𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙥𝙧𝙚𝙨𝙨𝙪𝙧𝙚 𝙝𝙖𝙥𝙖𝙣𝙖 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙠𝙪𝙥𝙚 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙚 𝙠𝙪𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖
  16. 𝙆𝙪𝙤𝙢𝙗𝙚𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙨𝙪𝙠𝙖𝙧𝙞 𝙪𝙣𝙖𝙯𝙤𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖 𝙙𝙖𝙬𝙖 𝙯𝙖 𝙨𝙪𝙠𝙖𝙧𝙞 𝙝𝙖𝙥𝙖𝙣𝙖 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙥𝙖 𝙣𝙜𝙪𝙫𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙯𝙞𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖
  17. 𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙨𝙩𝙖𝙖𝙛𝙪 𝙪𝙢𝙚𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙠𝙞𝙪𝙣𝙪𝙖 𝙢𝙜𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙣𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙩𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖 𝙬𝙖𝙯𝙤 𝙡𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙛𝙚𝙙𝙝𝙖 𝙯𝙖𝙠𝙤 𝙞𝙡𝙞 𝙯𝙞𝙨𝙞𝙥𝙤𝙩𝙚𝙚
  18. 𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙛𝙞𝙡𝙞𝙨𝙞𝙠𝙖 𝙣𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙩𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖 𝙣𝙖𝙢𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙟𝙞𝙠𝙬𝙖𝙢𝙪𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖
  19. 𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙛𝙪𝙠𝙪𝙯𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙣𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙩𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙪𝙥𝙮𝙖
Karibuni sana
 
UKIUMWA NENDA HOSPITALINI KAMA OPTION YA KWANZA SABABU HOSPITAL ZIMEWEKWA NA MUNGU TUMIA DAWA HUKU UNASALI NA KAMA HOSPITALI IKIFELI NA UKIHAKIKISHIWA HILO NDO UJE USTICK NA MAOMBI PEKEE YAKE

KWA HIYO UKIMWA FIRST OPTION NI KWENDA HOSPITALINI HATA KAMA UKO KARIBU NA MUNGU KIASI GANI

SIO UNAUMWA MALARIA, TYPHOID, KICHWA UNATAKA UOMBEWE NA HUTAKI KUNYWA DAWA HUKO NI KUMKUFURU MUNGU
 
Maombi hayaondoi uwajibikaji au kufanya kazi jukumu la kufanya kazi lipo palepale hata baada ya kuombewa

Unakuta watu wengi kabla hawajaokoka walikuwa wanafanya kazi vizuri tu ila baada ya kuokoka kupitia mafundisho ya unyakuo ambayo yamekuwa yakifundishwa ndivyo sivyo anaacha kufanya kazi anasubiria unyakuo baada ya mda hali yake ya uchumi inakua ngumu sana

Kwa hiyo jambo la kufahamu maombi au kumtumikia Mungu hakuondoi uwajibikaji au hakukufanyi wewe usifanye kazi utegemee miujiza kufanya hivi ni kumkufuru Mungu
 
MAWAZO MAPYA
Iwe umeajiriwa au umejiajiri kuna mda unataka mawazo mapya nikimaanisha fikra mpya za kibunifu kazini au kwenye biashara yako kama sehemu ya kukubaliana na ushindani na umejitahidi kitafuta fikra mpya
Nakutengenezea madhabahu kwenye fikra zako ili uweze kupata fikra, mbinu za kimawazo za kuboresha kazi yako au kukutoa hapo ulipo kwama
Lengo ni kupata fikra kuzifanyia kazi na sio miujiza
 
Masharti ya madhabahu nazojenga
  • Baada ya madhabahu kukamilika utakua unatoa sadaka mara moja kwa mwezi kwenye kanisa unalosali ambalo mimi silijui na sio kwangu-kama huna kanisa inabidi utafute kanisa karibu wewe uwe unatoa sadaka kwa ajili ya madhabahu
 
Tupe uzoefu wako, wangapi wamefanikiwa kupitia wewe.
 
Duh! kwamba madhabahu?
Mwili wa binadamu ni hekalu according to new testament
1 korintho 6:19
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.

Na ndani ya hekalu madhabahu inaweza jengwa
 
Sio kila changamoto ya kibiashara inatokana na mambo ya kiroho hapana ziko changamoto nyingi za kibiashara zinatokana na uzembe, kurithika, customer care mbovu, na kutoendana na wakati

Ila kuna baadhi ya changamoto za biashara zinatokana na mambo ya kiroho kama ulimwengu wa giza hizo zinatatulika kwa ufanisi mkubwa sana
MUHUNI WA CCM
 
Mimi ni mtumishi wa Mungu katika Yesu kristo sio mganga wa kienyeji

1 korintho 6:16
Je hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
👇👇👇👇
Mwili unaweza kutumika kama madhabahu kwa sababu ndani ya hekalu kuna madhabahu

Masharti ya madhabahu nazojenga
  • Baada ya madhabahu kukamilika mimi sipokei sadaka bali mara moja kwa mwezi utakua unatoa kwenye kanisa unalosali ambalo mimi silijui, na sio kwangu-kama huna kanisa inabidi utafute kanisa karibu wewe uwe unatoa sadaka kwa ajili ya madhabahu
Masharti ambayo hayaendani na madhabahu nazotengeneza
  1. Hazihusiani na kutoa kafara kwa sababu Yesu tayari alishajitoa kafara
  2. Hazihusiani na mashart ya ajabu ajabu kama kumfanya ndugu yako au mtoto wako kafara, kutembea peku, kulala chooni na mengi neyo mengi
  3. Hazihusiani na maji ya upako, mafuta ya pako au chumvi ya upako
Baada ya madhabahu kukamilika na kukabidhi kutakuwa na mda wa mwezi wa uangalizi

[HUDUMA NAZOTOA]
1) BIASHARA
Kuna mda unahisi umeshafanya kila jambo sawa una customer care nzuri, unasponsor biashara yako kwenye mitandao ya kijamii na bado hupati wateja sababu zinaweza kuwa nyingi ila mojawapo inaweza kuwa ni ya kiroho Naweza kukusaidia kuepukana na hii changamoto kwa kujenga madhabahu kupitia biblia ambayo hutatakiwa kutoa sadaka au kafara, masharti ya ajabu ajabu kama kutokuvaa viatu au kulala chini masharti ni ya kawaida sana

2)KAZI
Kuna watu wao kila wakipata kazi kwenye sehemu husika wanajitahidi sana kujituma na kufuata taratibu ila wanajikuta wanapambana na vita kubwa sana wanachukiwa bila sababu yeyote na mwishowe wanaacha kazi ila wakienda kwenye kazi nyingine mambo ni yale yale vita inakua ni kubwa sana
Mimi ntakusaidia kujenga madhabahu kupitia biblia ili uweze kukubaliana na changamoto unapokuwa kazini

3)MAGONJWA YA KURITHI
Kuna case za magonjwa kama ya cancer yanarithiwa sio cancer zote zinaridhiwa hapana ila kuna ambazo zinaridhiwa mfano kuna jamaa kwenye familia ya baba yao watu wote wa kiume nikimaanisha wababa wadogo na wakubwa akiwemo baba yake amefariki na cancer ya koo na ambaye amebaki ana na cancer ya koo ukiangalia kirohoo hii sio cancer ya kawaida ni ya kurithi
Natengeneza madhabahu kupitia biblia ili uweze kuthibiti magonjwa ya kurithi yanayoitesa familia
Fahamu sio kila ugonjwa uwe ni cancer, kisukari, pressure ni wakurithi hapana ila yapo ya kurithi

4)KUJITOA KWENYE UTAJIRI WA KICHAWI
Kujitoa kwenye mikataba ya kipepo uliyoingia ili kupata utajiri
Kuna watu walienda kwa waganga wa kienyeji wakapewa masharti ya ajabu ajabu wanayatekeleza na yamewasaidia kupata kwenye utajiri ila wamekuja gundua kule wapo kwenye kifungo na masharti yanawalemea, wengine wamekosea masharti hawakutakiwa kulala kwenye kitanda wamelala kwenye kitanda kwa bahati mbaya na maisha yao yameharibika jumla wako gizani means wapo kwenye kifungo cha kipepo
Ntakujengea madhabahu kupitia biblia ili utoke kwenye hii hali

5)MAWAZO MAPYA
Iwe umeajiriwa au umejiajiri kuna mda unataka mawazo mapya nikimaanisha fikra mpya za kibunifu kazini au kwenye biashara yako kama sehemu ya kukubaliana na ushindani na umejitahidi kitafuta fikra mpya
Nakutengenezea madhabahu kwenye fikra zako ili uweze kupata fikra, mbinu za kimawazo za kuboresha kazi yako au kukutoa hapo ulipo kwama
Lengo ni kupata fikra kuzifanyia kazi na sio miujiza

Kwa anayehitaji huduma namba hii hapa 0748520181 text whatsApp
💩
 
Back
Top Bottom