Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ndoto ya kuwa nanii mkubwa umeachana nayo tena?
Hujajibu swali ni lini nilikufanyia uhuniCHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU
Uchaguzi ni mpaka 2030 sahivi mambo mengine yanaendeleaNdoto ya kuwa nanii mkubwa umeachana nayo tena?
Wewe unaweza tumika kama madhabahuWeka picha ya madhabahu.
Unaposema damu ya YESU una maana gani mkuu?Damu ya Yesu, neno kwenye biblia na nyota ya mhusika
Hivi uko serious au unatania sababu nisije nakawa napoteza mdaUnaposema damu ya YESU una maana gani mkuu?
Na nyota ya mhusika inahusikaje mkuu?
Wataniuliza ni lini ulikuwa mgonjwa hatukuja kukutazama na lini ulipokuwa na njaa atukukupa chakula ni lini nilikufanyia uhuni ..yesu akasema ondokeni kwangu nyinyi mtendao maovu sikuwajueni nyinyi kamwe..Hujajibu swali ni lini nilikufanyia uhuni
Na utakatifu upo ndani ya mtu according to new testament
Uovu wangu ni upi ebu nionyesheWataniuliza ni lini ulikuwa mgonjwa hatukuja kukutazama na lini ulipokuwa na njaa atukukupa chakula ni lini nilikufanyia uhuni ..yesu akasema ondokeni kwangu nyinyi mtendao maovu sikuwajueni nyinyi kamwe..
Hapana mkuu! umeniacha junction maana mimi nimeuliza vitu vya madhabahu vinavyopatikana baada ya kuijenga sasa, umetaja damu ya YESU hujafafanua mkuu!Hivi uko serious au unatania sababu nisije nakawa napoteza mda
Damu ya Yesu aliyokufa msalabani
Ukiona una mtuhumu mtu mara muhuni na hakuna uhuni aliokufanyia, mara muovu fahamu una tatizo la akiliWataniuliza ni lini ulikuwa mgonjwa hatukuja kukutazama na lini ulipokuwa na njaa atukukupa chakula ni lini nilikufanyia uhuni ..yesu akasema ondokeni kwangu nyinyi mtendao maovu sikuwajueni nyinyi kamwe..
Wewe ni dhehebu gani ? Una abudu kanisa gani ? Tuanzie hapo.Uovu wangu ni upi ebu nionyeshe
Madhabahu inajengwa kutumia sheria ya agano jipya kwa tafsiri nyepesiHapana mkuu! umeniacha junction maana mimi nimeuliza vitu vya madhabahu vinavyopatikana baada ya kuijenga sasa, umetaja damu ya YESU hujafafanua mkuu!
Injili tunaijua vizuri ...hiyo injili ya mwili na damu ni injili ya shetani ...Ukiona una mtuhumu mtu mara muhuni na hakuna uhuni aliokufanyia, mara muovu fahamu una tatizo la akili
Mtu ambaye yupo mental fit hawezi anza mshambulia mtu bila kuwa na uthibitisho na kumzushia maneno ya uongo
Ok! madhabahu ni muhimu sana mkuu, maana inatukumbusha uhusiano wetu na MUNGU. hapo kwenye nyota sijakupata vyema mkuu!Madhabahu inajengwa kutumia sheria ya agano jipya kwa tafsiri nyepesi
Agano la kale madhabahu ambazo zilikuwa na majina kama yehova nisi, shalom n.k zilikuwa zinajengwa kwa kutumia mawe na miti
Kutumia damu ya Yesu ni injili ya shetani tokea liniInjili tunaijua vizuri ...hiyo injili ya mwili na damu ni injili ya shetani ...
Ndani ya kristo kuna vipaji vingi sanaSijui uligunduaje hiki kipaji?
Unajua hata damu ya yesu ni nini ? Wacha uhuni kijanaKutumia damu ya Yesu ni injili ya shetani tokea lini
Sababu mimi natumia damu ya Yesu
Nimekuuliza swali kutumia damu ya Yesu ni ushetani mbona hujajibu swaliUnajua hata damu ya yesu ni nini ? Wacha uhuni kijana