Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,316
- 7,215
Kama kweli ni Vilaza tu umewapata, but siamini kama jf Kuna Watu wajinga kiasi Cha kuamini Maneno ya Kitaperi kiasi hiki.Lazima utoe milio yote safarii hii
Mpaka sahivi nina watu kibao nafanya nao kazi na nimeanza jana
Nyie ndiyo mnaharibu sifa za Wachungaji, na wewe huna Utumishi wa Mungu wowote zaidi ya kuongozwa na njaa tu.