Mimi ni mtumishi wa Mungu katika Yesu kristo sio mganga wa kienyeji
1 korintho 6:16
Je hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
👇👇👇👇
Mwili unaweza kutumika kama madhabahu kwa sababu ndani ya hekalu kuna madhabahu kwa hiyo mimi najenga madhabahu ndani ya mtu
Vitu navyotumia kujenga madhabahu
- Damu ya Yesu~ hakuna kafara yeyote ya mnyama
- Nyota ya mtu group lake damu
- Jina la mahali
- Neno la Mungu
Masharti ya madhabahu nazojenga
- Baada ya madhabahu kukamilika mimi sipokei sadaka bali mara moja kwa mwezi utakua unatoa kwenye kanisa unalosali ambalo mimi silijui, na sio kwangu-kama huna kanisa inabidi utafute kanisa karibu wewe uwe unatoa sadaka kwa ajili ya madhabahu
Masharti ambayo hayaendani na madhabahu nazotengeneza
- Hazihusiani na kutoa kafara kwa sababu Yesu tayari alishajitoa kafara
- Hazihusiani na mashart ya ajabu ajabu kama kumfanya ndugu yako au mtoto wako kafara, kutembea peku, kulala chooni na mengi neyo mengi
- Hazihusiani na maji ya upako, mafuta ya pako au chumvi ya upako
Baada ya madhabahu kukamilika na kukabidhi kutakuwa na mda wa mwezi wa uangalizi
[HUDUMA NAZOTOA NA NAMBA ZANGU NI HIZI HAPA 0748520181 KWA ANAYEHITAJI HUDUMA NA NIKAMA ZIFUATAZO]
1) BIASHARA
Kuna mda unahisi umeshafanya kila jambo sawa una customer care nzuri, unasponsor biashara yako kwenye mitandao ya kijamii na bado hupati wateja sababu zinaweza kuwa nyingi ila mojawapo inaweza kuwa ni ya kiroho Naweza kukusaidia kuepukana na hii changamoto kwa kujenga madhabahu kupitia biblia ambayo hutatakiwa kutoa sadaka au kafara, masharti ya ajabu ajabu kama kutokuvaa viatu au kulala chini masharti ni ya kawaida sana
Luka 5:4-6
2)KAZI
Kuna watu wao kila wakipata kazi kwenye sehemu husika wanajitahidi sana kujituma na kufuata taratibu ila wanajikuta wanapambana na vita kubwa sana wanachukiwa bila sababu yeyote na mwishowe wanaacha kazi ila wakienda kwenye kazi nyingine mambo ni yale yale vita inakua ni kubwa sana
Mimi ntakusaidia kujenga madhabahu kupitia biblia ili uweze kukubaliana na changamoto unapokuwa kazini
(Maombi hayaondoi uwajibikaji au kufanya kazi jukumu la kufanya kazi lipo palepale hata baada ya kuombewa)
Mwanzo 26:1-3
3)MAGONJWA YA KURITHI
Kuna case za magonjwa kama ya cancer yanarithiwa sio cancer zote zinaridhiwa hapana ila kuna ambazo zinaridhiwa mfano kuna jamaa kwenye familia ya baba yao watu wote wa kiume nikimaanisha wababa wadogo na wakubwa akiwemo baba yake amefariki na cancer ya koo na ambaye amebaki ana na cancer ya koo ukiangalia kirohoo hii sio cancer ya kawaida ni ya kurithi
Natengeneza madhabahu kupitia biblia ili uweze kuthibiti magonjwa ya kurithi yanayoitesa familia
Fahamu sio kila ugonjwa uwe ni cancer, kisukari, pressure ni wakurithi hapana ila yapo ya kurithi
UKIUMWA NENDA HOSPITALINI KAMA OPTION YA KWANZA SABABU HOSPITAL ZIMEWEKWA NA MUNGU TUMIA DAWA HUKU UNASALI NA KAMA HOSPITAL IKIFELI NA UKIHAKIKISHIWA HILO NDO UJE USTICK NA MAOMBI PEKEE YAKE
Marko 5:21-43, & Mathayo 9:18-38
4)KUJITOA KWENYE UTAJIRI WA KICHAWI
Kujitoa kwenye mikataba ya kipepo uliyoingia ili kupata utajiri
Kuna watu walienda kwa waganga wa kienyeji wakapewa masharti ya ajabu ajabu wanayatekeleza na yamewasaidia kupata kwenye utajiri ila wamekuja gundua kule wapo kwenye kifungo na masharti yanawalemea, wengine wamekosea masharti hawakutakiwa kulala kwenye kitanda wamelala kwenye kitanda kwa bahati mbaya na maisha yao yameharibika jumla wako gizani means wapo kwenye kifungo cha kipepo
Ntakujengea madhabahu kupitia biblia ili utoke kwenye hii hali
1 samwel 5:1-5
5)MAWAZO MAPYA
Iwe umeajiriwa au umejiajiri kuna mda unataka mawazo mapya nikimaanisha fikra mpya za kibunifu kazini au kwenye biashara yako kama sehemu ya kukubaliana na ushindani na umejitahidi kitafuta fikra mpya
Nakutengenezea madhabahu kwenye fikra zako ili uweze kupata fikra, mbinu za kimawazo za kuboresha kazi yako au kukutoa hapo ulipo kwama
Lengo ni kupata fikra kuzifanyia kazi na sio miujiza
2 wafalme 4:1-7
Kwa anayehitaji huduma namba hii hapa 0748520181 text whatsApp