Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

Akitoa hiyo sadaka inapaa mbinguni au inakua hela yako unatumia kwa matumizi yako binafsi
Watanzania hata kusoma hamjui ni wapi nimeandika napokea sadaka
Sasa mambo ya kawaida hamjui kusoma na kuelewa ndo katiba ya nchi mtaielewa kweli
 
Kwenye kila soko kila mtu anahaki ya kujenga madhabahu yake kwa hiyo wewe usiwakasirikie wanaojenga madhabahu zao na wewe jenga ya kwako kupitia Yesu kristo
 
Hakuna mahali Yesu amewaagiza wanafunzi wake wakajenge madhabahu, wewe umetoa wapi hayo maagizo? Je unajua madhabahu kazi yake ni nini?

Je, labda umeziona madhabahu za waganga kila mahali?
Huo ni mtizamo wako na unahaki ya kuamini hivyo
 
Kila mKristo anaweza kujenga Madhabahu yeye Mwenyewe, Kwa maelekezo kidogo tu...!

Madhabahu haihitaji Jengo maalumu, Wala vifaa maalumu, kile unachojaribu kufanya hapa ni kuengeneza mazingira ya kupata pesa Kwa uwezo ambao Mungu ametoa Bure.

Nikwambie Mtu wa Mungu, kama kweli Mungu ameweka kalama ndani Yako, unaweza kuwafundisha Watu Kanisani kwako na wakafanye wenyewe, coz sio kitu complicated mpaka useme utakua unaenda kuwajengea madhabahu wewe mwenyewe, hata JF unaweza kuanzisha Uzi wa kufundisha Watu namna ya kujenga Madhabahu, na Watu wakaenda kufanya.

Naweza kuona dhamira Yako ya ndani sana, na ninakuonea huruma Kwa sababu umezungumzia kwenda kuvunja Nguvu za Giza za Watu waliofanya Mikataba na Kuzimu Kwa sababu ya Utajiri na wakashindwa kifata Masharti, kwamba upo tayari kwenda kuvunja hizo Nguvu na kupanda Madhabahu za Bwana huko, Kwa dhamila Yako iliyojificha na hiki unachokifanya ni HATARI KWAKO, sio Kila Vita vya Kiroho unaweza kuoigana tu kisa uko na Mamlaka, Bora uwe na dhamila ya kweli, ukiwa na dhamila ovu iliyojificha, Utanena Kwa Lugha, utaomba masaa 10 kuvunja hizo Nguvu za Giza, Bwana hatakua na wewe...!
 
Amejiamulia kwa tamaa ya kutaka pesa
 
Sio kila mtu anaweza kujenga madhabahu hata ukifundishwa zile ni zawadi Mungu anampa mtu
Ni kama wako watu wanakipaji cha mpira wengine hawana, huyu ana ujuzi huu mwingine hana ndo maana ya point nzima ya specilizations
 
Amejiamulia kwa tamaa ya kutaka pesa
Hata wewe unahaki ya kutafuta pesa usikasirikie wengine wakitafuta pesa

Kila mtu anatafuta pesa kwa namna yake either umeajiriwa, au umejiajiri sasa kutafuta pesa sio kosa
 
Back
Top Bottom