Uanaume kaziOmba usipangiwe majukumu na jinsia ke utajuta! Hiyo kazi utaifanya mwenyewe
Ni hayo tu
Inategemea na wewe mwanaume uliyepangwa nae kama unajichekesha mbona utapiga kazi mwenyewe ,wanaangalia na watu japo sometimes wengi ni wavivu by nature, na bado kama ni posho yakwako ndio yenu ya msosi na nauli then yake ni (Sina Hela)Omba usipangiwe majukumu na jinsia ke utajuta! Hiyo kazi utaifanya mwenyewe
Ni hayo tu
Tofauti na hivyo je? Shikilia maneno yako wewe mzee🫠🫠Wale wenye sura ngumu ndio wanaofanya kazi, na wengi wao wamefaulu ki-halali huko vyuoni.
duuh!Kabisa.Mwanamke ni shetani kabisa.Ndiyo maana hata huyu mazafaka katuharibia nchi kwa kuiuza kwa chivyayo
Niliwahi kupigika mpaka nikakondeana wakati wenyewe wanazidi kunenepa,halafu ulikute libosi li womanizer,ikitokea safari au vyeo wao ndio wa kwanza kupewa...Omba usipangiwe majukumu na jinsia ke utajuta! Hiyo kazi utaifanya mwenyewe
Ni hayo tu
Assume mpo kitengo cha kuweka nguzo za umeme yani kazi yake ni kuwanyegesha tuInategemea na wewe mwanaume uliyepangwa nae kama unajichekesha mbona utapiga kazi mwenyewe ,wanaangalia na watu japo sometimes wengi ni wavivu by nature, na bado kama ni posho yakwako ndio yenu ya msosi na nauli then yake ni (Sina Hela)
Ukweli unaujua, kujaliwa muonekano mzuri tayari ni mafanikio ata usiposoma.Tofauti na hivyo je? Shikilia maneno yako wewe mzee🫠🫠
Haya mambo achana nayo, kuna mrembo amejaliwa muonekano mzuri hapa mtaani, ni darasa la saba tu lakini anaupeleka moyo wangu mbio, nataka niuze nyumba ya urithi ili niwe naye.Hata hivyo omba asiwe na mbinyuo akiwa nao tabu iko palepale