Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?

Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?

Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu,

Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah

Wanabodi huyu mod ananifanyia mbaya sana, na Nime Vumilia sana.

Maxence Melo Payge Active Moderator
 
Wakifuta nyuzi si wanakupa feedback?
 
Back
Top Bottom