Salaam wakuu.
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini.
Je, tatizo Nini wakuu?
Mwenye uzoefu anipe msaada🙏🏿🙏🏿
Wakuu kwema?
Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
Sijui nimemkosea nin mwenyezi Mungu mimi kama kuna kosa napiga magoti natoa chozi mbele yako nisamehe nitoe kwenye haya mateso.
Natoa historia yangu fupi, sina elimu ya uandishi maana elimu yangu ya shuleni ni ndogo.
Kwa majina yangu ni Juma Elias Chacha, ni mwenyeji wa Tarime Bomani ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.