figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.
Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..!
Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? š¤£š¤£.
Kwanza jini Makata ukilishika bila kuliamkia au ukiwa na janaba linakunyonya damu unakufa.
Sasa wakuu, mimi haya mambo ya kusema Samia anaweza kutuma jini makata hilo napinga. Kwanza jini makata atalitumaje? Kwa ndege?
Kwani majini yanaheshimu watu waliojipachika Urais hadi ayatume yakubali?
Tumseme kwa mauaji ya 29.10.2025 na kudumaza Miradi ya maendeleoya Tanganyika. Tumshinikize amrudishe Mdude nyagali, Soka, na walio muua Mzee kibao wachukuliwe hatua. Mambo ya kubambikizia watu kesi hasa wapinzani wake wa kisiasa. Haya ndo yanafanya nimuombee mabaya na kutamani naye aonje mauti.
Lakini hili sijui la kutumia majini makata yauwe wanaharakati hana ubavu huo. Mwanamke mwenyewe anaogopa mende, Jini ndo ataligusa. Mnampa ushujaa asiokuwa na uwezo nao.