Huwezi kutenganisha uislamu na majini.Kuamini uchawi na majini ni upuuzi na ujinga wa kiwango cha juu
Uchawi ni theory ya kipumbavu zaidi duniani

😁😁😁😁😁Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.
Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee. Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata ukilishika bila kuliamkia au ikiwa na janaba linakunyonya damu unakufa.
Sasa wakuu, mimi haya mambo ya kusema Samia anaweza kutuma jini makata hilo napinga. Kwanza jini makata atalitumaje? Kwa ndege?
Kwani majini yanaheshimu watu waliojipachika Urais hadi ayatume yakubali?
Tumseme kwa mauaji ya 29.10.2025 na kudumaza Miradi ya maendeleoya Tanganyika. Tumshinikie amrudishe Mdude nyagali, Soka, na walio muua Mzee kibao wachukuliwe hatua. Haya ndo yanafanya nimuombee mabaya.
Lakini hili sijui la kutumia majini makata yauwe wanaharakati hana ubavu huo. Mwanamke mwenyewe anaogopa mende, Jini ndo ataligusa. Mnampa ushujaa asiokuwa na uwezo nao.
View attachment 3692049
Kuna muislam anayekunywa konyagi?Huwezi kutenganisha uislamu na majini.
Maana yako ni kwamba bibi Kizimkazi ana janaba au ulikuwa unasemaje? Kwani hilo janaba lake ni la kung'ang'ania hata akioga halitoki?Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.
Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee. Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata ukilishika bila kuliamkia au ikiwa na janaba linakunyonya damu unakufa.
Sasa wakuu, mimi haya mambo ya kusema Samia anaweza kutuma jini makata hilo napinga. Kwanza jini makata atalitumaje? Kwa ndege?
Kwani majini yanaheshimu watu waliojipachika Urais hadi ayatume yakubali?
Tumseme kwa mauaji ya 29.10.2025 na kudumaza Miradi ya maendeleoya Tanganyika. Tumshinikie amrudishe Mdude nyagali, Soka, na walio muua Mzee kibao wachukuliwe hatua. Haya ndo yanafanya nimuombee mabaya.
Lakini hili sijui la kutumia majini makata yauwe wanaharakati hana ubavu huo. Mwanamke mwenyewe anaogopa mende, Jini ndo ataligusa. Mnampa ushujaa asiokuwa na uwezo nao.
View attachment 3692049
Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.

RACHEL DANGWA is BAAAAAAAAAAAAAAAAAAACK!Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa.
Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee. Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata ukilishika bila kuliamkia au ikiwa na janaba linakunyonya damu unakufa.
Sasa wakuu, mimi haya mambo ya kusema Samia anaweza kutuma jini makata hilo napinga. Kwanza jini makata atalitumaje? Kwa ndege?
Kwani majini yanaheshimu watu waliojipachika Urais hadi ayatume yakubali?
Tumseme kwa mauaji ya 29.10.2025 na kudumaza Miradi ya maendeleoya Tanganyika. Tumshinikie amrudishe Mdude nyagali, Soka, na walio muua Mzee kibao wachukuliwe hatua. Haya ndo yanafanya nimuombee mabaya.
Lakini hili sijui la kutumia majini makata yauwe wanaharakati hana ubavu huo. Mwanamke mwenyewe anaogopa mende, Jini ndo ataligusa. Mnampa ushujaa asiokuwa na uwezo nao.
View attachment 3692049
Baelezee habaelewi.Kuamini uchawi na majini ni upuuzi na ujinga wa kiwango cha juu
Uchawi ni theory ya kipumbavu zaidi duniani
Vyote vinaenda sambambaTofautisha kuamini na kujua .
sorry wewe ni Islamic au christian?
Nyamitusi ni fayaaah🔥🔥🔥🔥.RACHEL DANGWA is BAAAAAAAAAAAAAAAAAAACK!
Kama kweli wangetuma hayo majini magogoni😅Baelezee habaelewi.
Rachel NdagwaJini Makata ni kitu gani?
Na huyo Dada ni nani?