Hata Bia?Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Unastaafu safi sana wewe ni mstaafu sasa,nashukuru nagonga 2,3 baada ya siku mbili au tatu,hazinifanyi mtumwa.Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Ok.Sikufanya proof reading
All the best. Mimi nimejaribu mara nyingi nimeshindwa. Mwaka Jana nilitoboa mpaka miezi 7. Nikapata pesa fulani niliuza kiwanja ikawa trigger. Sasa hivi siachi tena ila nakaa mbali na simu.kunywa Tena pombe ni UONGO
Kila kheri mzee mi hua naaga kila siku Ila wiki mbili tatu nakuta nishazimua.Hii hakuna kurudi nyuma