Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
wastaarabu huwa wanasema nimepumzika kunywa pombe kwa sasa, inatosha.
Kwasababu wengi waliowahi kujipiga kifua hadharani na kujitapa kuacha pombe, lakini mazingira yaliwashinda, na wakaanza kurudi kwenye matumizi ya pombe kwa siri na hatimae wakaumbuka vibaya sana mbele ya jamii. But ukisema umepumzika kunywa pombe kwa muda, na ukirejea kwenye matumizi ya pombe tena, nadhani utarejea bila kificho na hutaumbuka hata mbele ya jamii na wala hakuna atakae kushangaa 🐒