From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

Hongera sana
Kumbe una miaka 26 wow 👌

Ujue nimekuuliza maana hua nakuona una ka ukorofi fulani nikajua hua unakunywa au mhuni kumbe sivyo

Hongera tena ujana maji ya moto watu wanataka kujaribu kila kitu
Hio kawaida hutokea sana kwangu watu kudhani hivyo sababu ya vibe ya utani na ukorofi kiasi ambacho wakinizoea katika uhalisia wanakuwa surprised jinsi wanavyonikuta
 
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.

Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Na ufute Ule wimbo wa marioo bia tamu
 
Ngoja tuone kwa sababu huwnda ni muhemko tu.

Kaka ingawa mwakwa huu umeoa na muda mchache baada ya ndoa unatuambia alcohol is enough to you.Sio mbaya ila make sure isiwe ni mihemko baada ya kuambiwa na huyo mkeo.

Ngoja kwanza,kwani hiyo miaka 12 uliyoanza kunywa divai je,ulikuja kutujulisha kuwa unaaznza kulewa?au ni vile hakukuwa na uandishi wa kipumbavu kama wako?
 
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.

Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Maamuzi magumu kama haya ungemshirikisha na shetani upate maoni yake.
Hawezi kukuangalia tuu Una left group bila kuwajibishwa.
 
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.

Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Alcohol free since January 1, 2024.

Jana nimefurahi sana nilikuwa katika event na marafiki wa siku nyingi.

Tumekaa, tumekula, tumefurahi.

Wakati tunapiga stories vinywaji vikatembea, watu wananiuliza utakunywa nini? Kulikuwa na beers pale, nikasema nakunywa maji tu.

Sasa kuna rafiki yangu mmoja wa zamani anajua nilikuwa nakunywa Scotch Whisky sana, akaniuliza akisema au unakataa beer kwa sababu wewe mtu wa Scotch Whisky? Sema tu, zipo Scotch pia, kuna Henessy, sema kinywaji chako tutakupatia.

Nikamwambia nishakunywa kila kitu kuanzia moonshine, Champagne mpaka rum ya 96 proof, nimeacha kunywa.

It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.
 
Kila laheri katika safari yako mpya ya kunywa mirinda nyeusi......
Tutakumiss
 
Alcohol free since January 1, 2024.

Jana nimefurahi sana nilikuwa katika event na marafiki wa siku nyingi.

Tumekaa, tumekula, tumefurahi.

Wakati tunapiga stories vinywaji vikatembea, watu wananiuliza utakunywa nini? Kulikuwa na beers pale, nikasema nakunywa maji tu.

Sasa kuna rafiki yangu mmoja wa zamani anajua nilikuwa nakunywa Scotch Whisky sana, akaniuliza akisema au unakataa beer kwa sababu wewe mtu wa Scotch Whisky? Sema tu, zipo Scotch lia, kuna Henessy, sema kinywaji chako tutakupatia.

Nikamwambia nishakunywa kila kitu kuanzia moonshine mpaka rum ya 96 proof, nimeacha kunywa.

It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.
Sasa si ungeamdika kizungu chote mkuu,ili tujue ulikuwa unamaananisha nini.

Sasa hizo sccritttch ndio nini.

MATAKO YAKO.
 
Alcohol free since January 1, 2024.

Jana nimefurahi sana nilikuwa katika event na marafiki wa siku nyingi.

Tumekaa, tumekula, tumefurahi.

Wakati tunapiga stories vinywaji vikatembea, watu wananiuliza utakunywa nini? Kulikuwa na beers pale, nikasema nakunywa maji tu.

Sasa kuna rafiki yangu mmoja wa zamani anajua nilikuwa nakunywa Scotch Whisky sana, akaniuliza akisema au unakataa beer kwa sababu wewe mtu wa Scotch Whisky? Sema tu, zipo Scotch pia, kuna Henessy, sema kinywaji chako tutakupatia.

Nikamwambia nishakunywa kila kitu kuanzia moonshine, Champagne mpaka rum ya 96 proof, nimeacha kunywa.

It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.
It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.
 
Wewe inawezekana ushalewa saa hizi

Si kwa makasiriko haya yasiyo na kichwa wala mguu 😂😂😂
Eti Bwasheee kunamtu anaweza kulewa kwa hichi kidude kweli?
 
Attachments

  • E56111C8-4153-4D1E-89DD-7D4F638D6276.jpeg
    E56111C8-4153-4D1E-89DD-7D4F638D6276.jpeg
    189.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom