From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

Eti Bwasheee kunamtu anaweza kulewa kwa hichi kidude kweli?

Wewe nilishakujua unapiga vitu saa hizi.

Hii ina heshima yake, ina legacy kubwa sana.

Sijui za sasa, ila zile za enzi zetu zilikuwa zinaheshimika sana.

Kuna siku niliipiga hiyo kama maji, hapo hapo sikuisikilizia.

Basi nilipofika nyumbani habari yake mpaka nikaita bwax 😂😂

Enzi zetu ukinywa hiyo au beer ya Safari unaonekana kidume.
 
Safari bado ndo bia ngumu, ila siku hizi kama zina utamu sana. Mimi pesa ingekuwa inatosheleza nataka kupiga vitu kama jack Daniel, John walker black label na Jameson. Mabia ni mataputapu sana.
Kuna siku niliziotea nikanywa chupa ya black label baa kwa shilingi 250k
Yaani nilipata stress wiki mzima hapo ni kama creti 7 za bia
 
Mkuu mimi ni Gen Z,ingawa ukiitoa hii mwisho ni (safari lager).Huwa ninazienjoy sana.

Kwa kusema ulirudi nyumbani hadi kuita bwax😂 ni dhahiri wewe ubongo wako ni mlaini sana😂.

Nipo ghorofa ya nane muda huu na nimeshika bonge la drill lenye uzito wa lb25 na kazi inaenda poa tu.

Ingawa hii ya sasa sio kivile kama za zamani,Enzi hizo ukiwa na vile vipakti vidogo sita tu kwa siku baaaasi.
 
Kuna kipindi nilikuwa nakunywa Johnnie Walker ama black ama red label, ama Dewars ama J&B, Grants, Teachers, Chivas Regal etc, pamoja na single malts mara nyingine, kama McCallan au Mcclelland takriban chupa moja kubwa ya 1.75 l kwa wiki.

Every week.

For years.

Ndiyo maana sasa nasema nishamaliza kunywa.
 
Ha
Kuna kipindi nilikuwa nakunywa Johnnie Walker ama black ama red label, ama Dewars ama J&B, Grants, Teachers, Chivas Regal etc, pamoja na single malts mara nyingine, kama McCallan au Mcclelland takriban chupa moja kubwa ya 1.75 ml kwa wiki.

Every week.

For years.

Ndiyo maana sasa nasema nishamaliza kunywa.
kikika imetosha hapo!
 
Mkuu mimi ni Gen Z,ingawa ukiitoa hii mwisho ni (safari lager).Huwa ninazienjoy sana.

Kwa kusema ulirudi nyumbani hadi kuita bwax😂 ni dhahiri wewe ubongo wako ni mlaini sana😂.

Nipo ghorofa ya nane muda huu na nimeshika bonge la drill lenye uzito wa lb25 na kazi inaenda poa tu.

Ingawa hii ya sasa sio kivile kama za zamani,Enzi hizo ukiwa na vile vipakti vidogo sita tu kwa siku baaaasi.
Kwanza hujui nilikunywa kiasi gani.

Pili hujanywa original kila kitu kimechakachuliwa siku hizi.

Zile pombe tulizokuwa tunakunywa zamani Tanzania walikuwa wanakuja watu kutoka nje wanasema hizi hazifai kwa matumizi ya binadamu 😂😂

Walipoanza kuchukua viwanda South Africans viwango vikabadilishwa.

Hata beer ya Safari ya sasa si sawa na zile za awali nafikiri.
 
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.

Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Haha usipotumia pombe externally mwili wako utazalisha pombe internally bila wewe kujua kupitia mlundiko wa chakula mwilini mwako. Kama unataka ufahamu ni jinsi gani ili mwili wako ufanye kazi efficiently kwa kiwango kinachotakiwa lazima digestive system izalishe kiwango cha pombe na kuingia katika mfumo wa damu. Soma kitu kinachoitwa "ALCOHOLIC BLOOD"
Mbona siku hizi mmerahisishiwa sana tofauti na sisi tulitafuta haya maarifa darasani, nyinyi mnaweza ku Google tu?!😫
 
Nini sababu zenu wewe na ubongo wako kukubaliana kuacha pombe?

Je mwanzo mlikubaliana na ubongo wako kuanza kunywa pombe kwa sababu zipi?

Au nakosea kuuliza hivi ndugu wananchi?
Pombe ni swala la kupumzika tu ila kuacha kabisa labda uwe umepata changamoto za kiafya na kufuata maelekezo ya daktari, vinginevyo kuacha.......🤣🤣🙌
 
Pombe haina faida zaidi ya hasara kibao
.... huo ndio ukweli
Sema huna hela wewe! Kama una kipato cha tia tia maji lazima uone utofauti pale unapokunywa na kushindwa kwako kutimiza majukumu yako muhimu. Pombe haiepukiki kwa muda wote, labda upumzike kuset mipango yako then.... aluta continyua🤣🤣
 
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.

Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Kuna sababu yoyote Ili wajifunze wengine?
 
Back
Top Bottom