From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

Pambana, unaweza kabisa!
Kila siku unayoamka bila pombe ni ushindi mkubwa kwa afya, akili, na uhuru wako.
7c402c0daa96ece208ea06cf2357d35f.jpg
 
Pombe sio mbaya watu ndio wabaya. Kama unashindwa kuicontrol pombe hata ukiacha bado kwenye maisha mengine ya kawaida yatakutesa utashindwa kuyacontrol
 
Kabisa usitumie aiseee sio nzuri kwako..!!

Zinakupeleka NY kisha zinakutua bongo, achana nazo..!! 😹
 
tanzagiza labda ndiyo jamii pekee duniani ambapo ulevi ni sifa, mitaani watu wanashindana kulewa, mtu anasifiwa kwa ulevi, ukiweza kukata vyupa vya kilevi wewe ni hero vs rest of the world ulevi ugonjwa wa akili na watu hufanya therapy ili kupona ulevi ila sisi kwetu ni sifa kuwa mlevi na mtu anajisifia kabisa kwamba ni mlevi na yule ambaye siyo mlevi ana-fight kuingia kwenye ulevi.

a sick society ...
Pasuka
 
Mimi nashukuru Alhamdulillah tokea nizaliwe sijawahi kuvuta chochote zaidi ya oxygen na sijawahi jihusisha na utumiaji wa kilevi chochote
Umevuta nyonyo ya b mkubwa acha uongo
 
Back
Top Bottom