VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

Uko bukoba vijana wa mudi wanataka kuwafukuza wafanyabiashara kisa wako eneo la msikiti wakati hata sio kweli,wako eneo sahihi kibiashara na eneo lenyewe walipewa na wao ndo wanaanzisha vurugu mpk mkuu wa wilaya akaja na hajawatetea.Aman na utulivu haviko kwenye damu za wafuas wa mudi.
 
Wako sahhi kabisa. Sio kila tukio ni la kukurupukia. Ni vyema wamesubiri hadi walipojiridhisha kwamba hali iliyojitokeza/aliynayo mwenzao jirani sio ya kawaida. Si umeona baadaye wamemzingira kutoa msaada?
1. Mtu anaweza kuwa amejizamisha kwenye sala; na ndo mana hajaangukia upande wowote i.e. Yupo conscious.
2. Waliopo pale inawezekana sio Wataalam wa mambo ya kiAfya- kwa hiyo hawajui kinachoendelea na wanaweza kummalizia/kumdhuru zaidi wakidhani wanamsaidia
3. Inawezekana hilo ni jambo-tukio la kawaida msikitini hapo wakati wa swala na wenyewe wamelizoea -hakuna kitu kigeni hapo. Ni poa tuu.
Mwisho: Tusiwahukumu kana kwamba hawajawajibika ipasavyo kwani inelikuwa ni huku upande mwingine wa mama mwenye nyumba ungelisikia purukushani, makelele, makemeo ya "kwa jina la Yesu", tokaaa, TOKAAA na wanachokifukuza hakionekani wala hakisemi neno, na ibada inavurugika jumla. Kobaz wameonesha ukomaavu wao katika Imani.:HYPERCLAPHD: ni kama wamesema 'ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO"
 
Yaani angepatikana hata mmoja mwenye akili wakampa jamaa huduma ya kwanza na kumkimbiza hospitali labda wangeweza kumsaidia asikate moto.
Kwani wamesema Jamaa alikata moto?? Hoja Mtu atakataje moto katika mkao huo i.e. haangukii kulia wala kushoto au kulala kifudifudi jumla? Kufa huendamana na aina vitendo flani vya Last Struggles -hapo havionekani hata kimoja.
 
Uko bukoba vijana wa mudi wanataka kuwafukuza wafanyabiashara kisa wako eneo la msikiti wakati hata sio kweli,wako eneo sahihi kibiashara na eneo lenyewe walipewa na wao ndo wanaanzisha vurugu mpk mkuu wa wilaya akaja na hajawatetea.Aman na utulivu haviko kwenye damu za wafuas wa mudi.

Mudi ni nani?
 
Mimi ni hao unaowaita 'kobazi' lakini hali kama hiyo ingetokea nikiwepo lazima ningeacha kuendelea na ibada nimsaidie huyo ndugu aliyepatwa na changamoto.

Sasa unaposema kobazi wote kichwani huwa hamna kitu umejisikiaje kuwajumuisha na ambao hawapo hivyo?
Kobazi bhana, watu wote wa upande huo kichwani huwa hamna kitu
 
Uko bukoba vijana wa mudi wanataka kuwafukuza wafanyabiashara kisa wako eneo la msikiti wakati hata sio kweli,wako eneo sahihi kibiashara na eneo lenyewe walipewa na wao ndo wanaanzisha vurugu mpk mkuu wa wilaya akaja na hajawatetea.Aman na utulivu haviko kwenye damu za wafuas wa mudi.
Kawasemehe kwa mama yako
 
Mimi ni hao unaowaita 'kobazi' lakini hali kama hiyo ingetokea nikiwepo lazima ningeacha kuendelea na ibada nimsaidie huyo ndugu aliyepatwa na changamoto.

Sasa unaposema kobazi wote kichwani huwa hamna kitu umejisikiaje kuwajumuisha na ambao hawapo hivyo?
Huna akili
Unajua kitu ambacho kinafanya ukatishe swalah....?

Unafikiri hawo walomuacha hawana akili ya dini kama wew?
 
Back
Top Bottom