VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

Hajona yule aliyebamizwa na msalaba- japokuwa ibada ilivurugika kiasi fulani.
ilivurugika kabisa sio kiasi sababu hawana kanuni yoyote kwenye ibada yesu alivyo anguka huku anabonda na kunyonga kama mpanzu😁 wakawa wanapiga mayowe tu yesu kauwaaaaa na ibada ikafa😁
 
Lete na ya yule shoga alie dondokewa na na sanamu la shoga mwenzake.....mbona hawakwenda kumsaidia kukwepa lile sanamu
 
lakini umeona mchungaji alieuza kitambaa chakufutia jasho kwa milioni 10?nawatu wamepandiana dau
hapo nani mjinga
Hizi dini zote za hovyo ila zimezidiana ujinga..huyo aliyenunua kitambaa mil 10 ni mjinga,kuna anayeua binadamu mwenzake kisa amebadili dini.
Pima mizani hapo nani mjinga zaidi?
 
Uwe unaanza kuuliza wenye elimu ya dini kabla hujafanya mihemko yako.
Husihis watu hawana elimu kama wewe.
Tumia akili,hustafute kupigiwa makofi na comments kwenye mitandao ya kijamii.
Husihis
Hustafute

We jamaa mbona kichwa chako hakina kitu!?
Hayo manini sasa umeandika!
Halafu sasa unajiona una elimu;
 
Hawa wafia dini ni hatari sana
Wengi huwa hawana ubinadam
 
Uko bukoba vijana wa mudi wanataka kuwafukuza wafanyabiashara kisa wako eneo la msikiti wakati hata sio kweli,wako eneo sahihi kibiashara na eneo lenyewe walipewa na wao ndo wanaanzisha vurugu mpk mkuu wa wilaya akaja na hajawatetea.Aman na utulivu haviko kwenye damu za wafuas wa mudi.
Ilikuaje Bukoba ikawa na Waislamu wengi sana tena hadi wa msimamo mkali ?
 
Back
Top Bottom