Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .

Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.

Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.

Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .

Leo hiii, Mtu anaweza kuweka Plate Number yake tu ,akaingiza Mtaani, akafanya Ualifu wa KUTEKA NA KUUA , akapita Barabarani na kuvuka viunzi vyote pasipo kua Noticed.

Na huenda, Mtu huyu anaweza Simamishwa na Askari , Mtu huyu akamjibu " Unanijuza Mimi ni nani na Niko kwenye deal gan kwa ajili ya nani? Koma"

Huyu Askari naye akapoa kama Maji ya mtungi ,kumbe kapoa mbele ya Wahalifu.

Tumekua tunasema

SERIKALI IACHE MASUALA YA UTEKAJI
POLISI WAKAMATE KWA MUJIBU WA PGO.
MASUALA HAYA YA PLATE NUMBERS FAKE, YADHIBITIWE.

lkn ooolaaaaa, Intelligence ya TISS imejaa Viazi wa Abdul, vipofu na wajinga wa akili
 
hoja nonsense kweli hii gentleman,

kwani utekaji uliofanyika majuzi pale ujerumani na unaoendelea Africa Kusini, Kenya na Ugnada watekaji hutumia plate number zipi?

​

Kuna sehemu niliona gari za namna hiyo zimesimamishwa na askari wa usalama barabarani...
Na waliyokuwemo ndani ya gari hawakushuka wala kushushua vioo ingawa walisimama...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom