- Thread starter
- #21
Mbwa kichaa alimng'ata mzee Ngombare na kumtoa uhai.Ninaomba Kwa dhati mbwa wote vichaa wanaouma watu hovyo wakamatwe na wangolewe meno ili wasijeleta tena madhara kwetu na Kwa watoto wetu.
Ujumbe uwafikie wafuga mbwa mwitu wote.