Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

wakiileta ya pili ntaiangalia Ila sidhani Kama wataweza kuiongoza kama ya kwanza maana ninauhakika team itapwaya tuu kuanzia directors,producers na actors wenyewe haiwezi kua na vibe the ame
Ndio huwa vinachangia season za mbele zisiwe nzuri kama za awali?
 
Back
Top Bottom